Msaada bei ya webhosting service in tanzania kwa mwaka

Msaada bei ya webhosting service in tanzania kwa mwaka

Aristolicius

Senior Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
110
Reaction score
38
wana jf,
naomba msaada wa bei ya ku host web tanzania ,size ya 2gb na bei ya domain name registration kwa makampuni ya kitanzania bei ningependa kujua jinsi ya kuwasilisha malipo
 
Kwa kampuni ya Jambo adverts, domain ni 15 USD na 100 USD unapata unlimited web space which includes unlimited emails, bandwidth. 24/7 full support! 99.9% up running servers! More info call: 0784 716989 au 0758716989

Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
 
thanx mkuu ila mi nilikuwa nataka ni host personal web kwa hiyo ya unlimited space inakuwa expensive kidogo,i just need maximum 2gb
 
Ongea nao vizuri wanaweza kukufanyia hata half way yake mkuu!

Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
 
Wadau post zenu zimenifaa sana, thanks a lot Jf members
 
Wakuu bado offer inaendelea kwa msimu huu wa sikuu .Webhosting kwa gharama ya 75,000/= tu ,kwenye hii offer utapata zitu vifuatavyo:=
1)Msql storage ni 1GB.
2)Bandwidth ni 40GB
3)Unlimited Email address.
4)24*7 free support.
5)Free SSL.
6)Free .tz domain.
Pia tunadesign website kwa gharama ya kuanzia 195,000 tu.
Kwa mawasiliano tupigie 0687 535650 ,Email info@pawahost.com
Website nikidesign mi mwenyewe gharama zinakuwaje.
 
webhostingkaka.com bei inaanzia tsh 7000 kwa mwezi na ukichukua mwaka mzima wanakupa free domain with SSL na watakusaidia kuhamisha website yako bure
 
Domain kanunue [HASHTAG]#manesole[/HASHTAG] kwa $8 ni .com na host kahost byethost free unlimited space
 
kuna jamaa wanajiita YATOSHA.COM hebu fanya kama unagumiana nao hivi. sema itabidi wajirekebishe upande wa customer care maana wabongo hatujielewi kabisa upande huo
 
Back
Top Bottom