Na wale wanaofanya mapenzi na wanawake kwa kutumia kondom walio katika hedhi wanapata madhara gani? Katika mifumo yao ya mwili maana nishawahi kusikia inawasaidia wanawake kuto pata kansa ya kizazi katika maana ya kuchokonoa hata damu iliyokuwa imeganda ambayo ndiyo husababisha kansa ya kizazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.