NANI ALIKUAMBIA UKICHUKULIA DIRISHANI HAWAKATI? WANAKATA KAMA KAWAIDA. HATA UKITOA KUPITIA ATM WANAKATA PIA SO HUDUMA PEKEE NAONA NI FREE NI KUTANSFER HELA KUTOKA ACCOUNT YAKO YA CRDB KWENDA ACCOUNT NYINGINE YA CRDB,, BASIIII..VINGINE VYOTEEEE MAKATO KAMA KAWAIDA NI BALAAA MNO, NDO MAANA WATU...
wANAKUJA WANESHAPATA CHANJO ZOTE? HIZO DALILI UNAZOSEMA NI UGONJWA WANAITA PAVOO,, FANYA USAFI WA BANDA UPULIZIE NA DAWA THEN KAA KAMA WIKI WALETE MBWA WAKO LAKINI HAKIKISHA WANAPATA CHANJO ZOTEE IKIWEMO CHANJO YA PAVO
Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA...
Kupe si kweli Ethiopian Airline mbona nimesafiri nayo juzi juzi tu wazungu walikuwa wengi tu ndani ya ndege. Tatizo uwanja wa ndege ni management mbona hata kwenye BA kuna watu wanakamatwa na unga?
Nafikiri CHADEMA kupitia mheshiwa mnyika wako sawa kwenye hili. Nape alikataa kutoa ushahidi akisema anakumbuka muda muafaka ufike ndo amwage data nakumbuka aliyasema haya wakati akihojiwa na Fina Mango. Nafikiri wakienda mahakamni ukweli ndo utajulikana,,,, so usiwatishe CHADEMA kutumia haki...
Ohooo mkuu nimei download na sikumbuki link ila video clip ninayo,,, nielekeze jinsi ya kubandika video clip kama ni possible nitupie sasa ivi. Samahani kwa usumbufu jamani nilijua imeupload
Fallacy! Tupe prove si kuleta data za ukoo wenu tu hapa! Kumbuka unaongelea dunia na tanzania kwa ujumla. Anyway mi rafiki yangu anavuta balaa tena sports na ana watoto watatu wote wa kiume anahangaika apate angalau wa kike sasa na shemeji naona kimeshaita,, yetu macho usikute ni kidume tena so...
Mkuu unatumia takwimu za wapi kaka? Si kweli kuwa Malawi wako fresh kiuchumi wamechoka sanaaaa hawawezi hata kunua silaha mpya hao kama chakula ni tabu itakuwa silaha? Huyu mama kaingia ndo kaanza kuukarabati uchumi kwa kuwarudisha wahisana ambao walijitoa baada ya mtangulizi marehemu Prof Bingu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.