Ipe maneno picha hii ya jembe mh. Zito

Ipe maneno picha hii ya jembe mh. Zito

joellincoln

Senior Member
Joined
Mar 20, 2009
Posts
163
Reaction score
20
Ipe caption picha hii,,,,
 

Attachments

  • zito and wema.jpg
    zito and wema.jpg
    67.5 KB · Views: 217
Vijana na Mihemko ya ma Love! Mwacheni Zitto nae apate nafasi nzuri ajipatie mke mwema
 
naona anataka kukamatia kitu afu anaogopa vile... kweli raha duniani zipo jaman...
 
Makamanda wa chadema wananipa raha sana! Wakiwa bungeni mchaka mchaka hadi magamba wanatoka kamasi! Wakiwa kwenye mambo ya kijamii huku kitaa hawajivungi wanajiachia balaa!

Mcheki Zi anavyo angalia lips za Wema huku kang'ata meno! [Yani kama anasema "huta lala, mpaka kieleweke"] halafu kama flaiz ime anza kuvimba flani hivi?!
Wasiwasi wangu kamanda asije akatoa makabrasha ya Kagoda akamkabidhi dogo aondoke nayo! Hahaha Pipozii....

NB. Still respect you big brother Zi.
 
Anasema kimoyomoyo "huna ujanja wewe"mengine nimesahau
 

Nimezidiwa, geukia huku, usianglie down yangu, maana zipu inapumua pumua. Cheki alivokamatia mkono kama vile ana...... teh teh bro ZI.

Wema ni kifaa kizuri angetulia angeweza kuwa mama Z mzuri. Anyway, atafundishika na kuwa mke mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom