Recent content by Joel kaigarula

  1. Joel kaigarula

    Kisome kifungu 79(c) cha sheria ya posta ambacho pia kashtakiwa Bosi wa JF, kina kosa gani?

    Bila kuweka "only" je automatically inamaanisha shall not use any other.....?
  2. Joel kaigarula

    Kisome kifungu 79(c) cha sheria ya posta ambacho pia kashtakiwa Bosi wa JF, kina kosa gani?

    Ninavyoelewa kifungu kinaelezea kuhusu mamlaka ya TCRA juu ya .ccTLD kwa maana kuwa ni kosa endapo mtandao somehow unatumia .ccTLD lakini hauko chini ya TCRA. Hili la kumaanisha kuwa mtanzania haruhusiwi kumiliki .com etc sielewi hata mantiki yake.
  3. Joel kaigarula

    Msaada: sheria zinapatikana wapi?

    Sheria zikishatungwa mwananchi wa kawaida anatakiwa kuzipata wapi?
  4. Joel kaigarula

    Mkataba wa google na Mozilla umeisha

    Sababu ya tangazo hili. Kwa watumiaji wa browser ya firefox mnaweza kuwa mmeliona tangazo hilo hapo juu mlipotembelea mtandao wa Google hivi karibuni. Tangazo hili ambalo halitokei iwapo unatumia browser zingine, linakushauri uifanye search engine ya google kuwa search engine ya...
  5. Joel kaigarula

    Google walamba matapishi, blog za ngono kuendelea

    Siku kadhaa baada ya kupiga marufuku picha za ngono katika blogs zote zinazotumia platform ya blogger (blogs za ngono zapata pigo toka kwa Google), kampuni ya Google imefuta maamuzi hayo. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Google imesema itaendelea na utaratibu ule ule wa kulazimisha...
  6. Joel kaigarula

    Blogs za ngono zapata pigo toka kwa Google

    Kama umetambua mara moja hilo bango hapo juu limetokea blog gani basi waingereza husema "shame on you". Mimi naweza kujitetea kuwa nilikuwa nafanya research kwa ajili ya blog post hii (ahem!), wewe utajitetea vipi? LOL. On a serious note, habari ni kuwa kampuni ya Google imeamua kufunga...
  7. Joel kaigarula

    Scripting language na Programming Language!

    ray57, Scripting language ni subset ya programming languages. Hivyo scripting languages pia zinaitwa programming languages. Tofauti ya matumizi ya maneno scripting na programming ni wether zinakuwa interpreted au compiled kabla ya kufanya kazi. Inabidi kwanza uanze na maana ya terminologies...
  8. Joel kaigarula

    Google kutoa modular smartphone mwaka huu

    Modular smartphone ni nini: Hizi ni smartphones ambazo zimeundwa kwa dhana ya open hardware (dhana ambayo inashabihiana na open source software kwa upande wa program). Maana yake ni kuwa mtumiaji anaweza bandika bandua vipande vipande vya components mbalimbali kama spika, skrini, kamera, na...
  9. Joel kaigarula

    Vodacom na escrow

    Kuna promosheni kubwa kutoka Vodacom inayoendelea hivi sasa ambayo nadhani wengi tumeona matangazo yake. Inaitwa "mamilioni ya jay" au "jaymillions". Katika tangazo lake linalochezwa na muigizaji maarufu nchini Tanzania, Hillary Daudi au maarufu "zembwela", ‘bwana j', ananukuliwa...
  10. Joel kaigarula

    Marekani na Uingereza wapanga michezo ya kivita ya kimtandao

    Nchi za marekani na uingereza zimekubaliana kushirikiana pamoja katika ulinzi dhidi ya mashambulio ya kimtandao. Kupitia kitengo cha pamoja (joint cyber-cell), nchi hizi mbili zitashirikiana taarifa mbalimbali zinazohusu mashambulizi dhidi yao. Ushirikiano huu vile vile utahusisha michezo ya...
  11. Joel kaigarula

    Instagram yafuta akaunti feki: Justin Bieber apoteza Zanzibar mbili, Kim kardashian avunja instagram

    Mtandao wa kijamii wa Instagram leo umeendesha zoezi la kufuta akaunti feki. Akaunti zilizofutwa nyingi ni zile ambazo hununuliwa na wafanyabiashara au wasanii ili kuongeza umaarufu wao kwa kuonekana kuwa wanafuatiliwa na watu wengi. Mtindo huu wa kununua akaunti feki vile vile upo katika...
  12. Joel kaigarula

    Yaliyoongoza kutafutwa katika Google mwaka 2014

    Kila mwaka Google huweka hadharani orodha ya maneno yanayoongoza kutafutwa kupitia search engine yake. Kwa mwaka huu 2014 orodha ya mambo yaliyoongoza kutafutwa kupitia Google ni hii hapa: source:Bofyatz.com:: Tanzanian tech blog
  13. Joel kaigarula

    Skype sasa kutafsiri lugha za watumiaji

    App ya skype imezindua uwezo wa kutafsiri lugha. Hii inamaanisha watumiaji wanaozungumza lugha mbili tofauti wataweza kuwasiliana moja kwa moja, kila mmoja akizungumza lugha yake ya asili ambayo itatafsiriwa moja kwa moja kwenda kwenye lugha ya mwenzake. Kwa kuanzia, kwa sasa kuna lugha...
Back
Top Bottom