Habari zenu ndugu zangu shaka mko poa,,
Kuna jambo linanisumbua naombeni ushauri wenu kabbilala sjafanya chochote ,,,ni hivi,kuna binti mmoja nilikua nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo ,,nilipanga kumuoa kabisa baadhi ya ndugu zake wanalifahamu hilo tarehe 3/3 mwaka huu alipigia simu na...