The wind of change is undefetable,"YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIMES,BUT YOU CAN'T FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME"watanzania wa leo sio wale wa zamani,hatuogopi hata mje na sheria za namna gani mlizojitungia wenyewe ili kulinda uwizi na ubadhirifu wa mali za umma(wananchi),tunaposema kwamba...