Watanzania mnayo habari hii!

Watanzania mnayo habari hii!

Kimsingi inatakiwa wakubwa woe wa vyama wakubaliane kuwa hakuna kutuma matoeo kwa njia ya Mtandao Kila chama kihakikishe kina matokeo ya urasi kwa kila jimbo na matokeo hayo yatumwe kwa Mweyekiti wa Chama husika ngazi ya Taifa kwa nja ya kawaia .UKAWA wakikubali matokeo yatumwe kwenye tume ya uchaguzi bas ujue wapinzani(UKAWA)Wamelia.
 
Mwenyekiti aliingia na majina yake wengine wrote out( wamekatwa )
kwahiyo huu ndiyo utaratibu wa ccm? pasipo kuwahoji wagombea......;
Lowassa should have not run for presidency from at the first place, angekua msafi asingetumia nguvu kubwa namna ile. Kamati ina nguvu ya kuondoa Jina, mbona wengine hawalalamiki? Pinda, Bilali,Membe, Sumaye etc he is not above CCM, he us not above principles. What does he ril want? What is in State House? We all know Lowassa he is full of shits, amebaki Nchimbi Gud thing hajagombea Chochote tunawajua.
 
Tafadhali usivunje Amani kwa ajili ya wapuuzi wachache, Kamwe Mtanzania usiumie kwa ajili ya mtu mmoja South Sudan wanapata shida kwa ajili ya watu wawili walafi. Wanaendelea kupandikiza Chuki ili wakishindwa ionekane wameibiwa nawachukia sana walafi wa Chadema, Tarehe mosi september ndo mwisho wako, sheria imetungwa kwa ajili ya watu kama wewe.
Makosa yake ni yapi mkuu mbona hujayasema badala yake unatoa tishio !!? Kwa mawazo yangu wewe ndiye utakayekoneshwa na sheria hiyo baada ya kuwa mpinzani kama yeye kwa sasa.
 
Makosa yake ni yapi mkuu mbona hujayasema badala yake unatoa tishio !!? Kwa mawazo yangu wewe ndiye utakayekoneshwa na sheria hiyo baada ya kuwa mpinzani kama yeye kwa sasa.

The wind of change is undefetable,"YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIMES,BUT YOU CAN'T FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME"watanzania wa leo sio wale wa zamani,hatuogopi hata mje na sheria za namna gani mlizojitungia wenyewe ili kulinda uwizi na ubadhirifu wa mali za umma(wananchi),tunaposema kwamba tunahitaji mabadiliko,we real mean it,na 25th october is the only day we'll get it,COME WHAT MAY!!.
 
CCM inajichanganya yenyewe kura lzm tupige tu hakuna namna nyingine.Eti ccm inaangaika kutengeneza timu za kampeni hv unawezaje kumuingiza mtu mzima uliyemuaibisha kwenye uteuzi wa urais ili apige kampeni hali iko wazi kwamba mwenyekiti alikuwa na majina yake matano huku watu wazito kama akin a sitta ,pinda ,bilal ,mwandosya wakitupwa nje huku vijana wadogo wakiingia tano bora.Hivyo basi kikwete anawachezesha watu wazima kama karanga kwenye ungo.Daima ukikosa akili na msimamo unaweza kuchezewa kama zezeta.CCM Imekufa kabisa mnaounda timu za kampeni mnasumbuka bure.
 
Back
Top Bottom