Recent content by Joe1016

  1. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

    Kwani hauna mtu mwingine wa kumtolea mfano mkuu?
  2. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio bei za jumla za mbao size zote Wilaya ya Njombe

    Sawa nashukuru nitakutafuta
  3. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio bei za jumla za mbao size zote Wilaya ya Njombe

    Sawa nimekuelewa na pia nilitaka kufahamu makadirio ya gharama ya usafiri mpaka dar mwenye gari anakula kiasi Gani?
  4. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio bei za jumla za mbao size zote Wilaya ya Njombe

    Kwa uzoefu wako gari Moja(lorry) linauwezo wa kubeba mbao za 2*4 kiasi Gani?
  5. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

    Na hapo ndipo hii serikali yetu inapo fail hakuna ubunifu Wa kutafuta vyanzo vingine vya mapato na ndio maana biashara Moja Kodi za Kila aina
  6. Joe1016

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ulinzi wa Rais Samia ni wa Kikomandoo na haujawahi kutokea barani Afrika. Hata sisiminzi hawezi kukatisha

    Tena Hizo % 2 inasemekana ziliharibika maana waliopiga walikua na haraka wanaogopa maandamo yaliyofanywa na watu kutoka nje ya nchi
  7. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Museveni wa Uganda kaigeuza nchi kuwa mali ya Familia, Ndugu na Watoto, soma orodha ya vyeo walivyonavyo

    Ila Bora hata mseven anawapa kazi ya kufanya kuna mwingine huku anachota tu mali ya umma na kuwafaidisha ndunguze na marafiki na machawa bila ya kufanya kazi yeyote
  8. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane hapa kuhusu kufungua kampuni ya kuchimba madini, taratibu zake zipo vipi? Na pia wadau tushirikishane migodi mipya

    Labda niongezee nyama kidogo mkuu Ili aweze kupata mafanikio ya uhakika ni muhimu sana kupima eneo Ili aweze kujua anachokitafuta Kiko wapi na kipo umbali Gani
  9. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Tatizo lipo Kwa anayewatuma na kuwapa hizo posho wewe hujiulizi wameandamana na hujaona hata polisi mmoja akihusika Sasa andamana wewe kumpinga mama Yao uone utakavyoacha ndala barabarani
  10. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Nitaandamana 'milele' kuipinga TEC na kuunga mkono mashehe

    Ila kama hiki kilichotokea serikali au kama kuna kiongozi wa serikali ndio ameratibu huu upuuzi amezingua pakubwa sana huwezi kushindana na taasisi kama Ile Kwa mbinu dhaifu Kiasi hiko
  11. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Video: Utani wa watangazaji wa Clouds Fm kwa 'wakatoliki' 120 ni Pambae!! wasepa baada yakuagiziwa KITIMOTO

    Tokea kipindi anajiapisha yule mama clouds hawarusha matangazo walikua wanapiga tu mziki nikajua kuna ambacho hakipo sawa
  12. Joe1016

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfalme (THE EMPEROR) yupo uchi - HADITHI YA KWELI!

    Mbona kama huyo mfalme bado yupo? Na walio muweka uchi wamepandishwa vyeo Kwa Sasa wanatembelea mafarasi yale makubwa makubwa meusi
  13. Joe1016

    JamiiForums Tanzania NHC Kijichi hizi bei

    Kwa sisi tunaopenda kuishi kwenye nafasi natoa million 20 namiliki ekari mia Moja hapa pwani pembeni kabisa ya dar iliyobaki nashusha mjengo Wa maana nikipata na usafiri wangu safi kabisa halafu mtu ananiambia nitoe zaidi ya million mia kununua kile chumba?
  14. Joe1016

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki dakika chache tu ili tuuanze mwaka 2026 naamini tumeshasameheana na hatuna visununu mioyoni mwetu

    Umesameheana nyinyi na nani? Kwani ulitufanyia kosa lipi?
Back
Top Bottom