Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

Ukifikiria kuwekeza fikiria kuwekeza kwenye uchumi wa bluu.
karibu tufuge 🐟 kisasa na kwa tija
 
1.Vibali vya uendashaji wa shuguli za ukuzaji viumbe hai majini

I)Mhutasari wa kikao cha serikali ya kijiji au mtaa ambapo mradi utafanyika.

II)TAFIRI- Kufanya survey kwenye eneo ambapo vizimba vitawekwa, kupima kina cha maji, ubora wa maji, mkondo wa maji, ukubwa mawimbi n.k. galama ni Tsh. 2,700,000/=

III)NEMC-Kufanya Environmental Impact Assessment, galama yao n 4,200,000/=

IV)Bonde la Ziwa Victoria- Kutoa kibali cha matumizi ya maji

V)Barua ya Afsa uvuvi wa eneo husika

VI) Kibari kutoka Wizara ya mifugo na uvuvi idara ya ukuzaji viumbe hai majini.
Jambo ni jema sana ila huu mlolongo utamaliza capital yote!!!
 
20240801_105033.jpg
Tukutane shambani
 
Tunapenda kuwatangazia wadau wetu kua bado tunaendelea kutoa huduma za utengenezaji vizimba, usambazaji wa vifaa vya ufugaji wa samaki, mbegu bora za samaki
Tutafute AGRIAQUATIC SOLUTIONS COMPANY LIMITED tukusaidie popote pale Tanzania
Tuwasiliane kupitia +255 764 123 459
Babilas
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni
 
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni njia rahisi na yenye tija kwa wafugaji samaki kibiashara. Nitakuelezea hapa hatua na gharama zake na mambo mengine ya kuzingatia.

1.Vibali vya uendashaji wa shuguli za ukuzaji viumbe hai majini

I)Mhutasari wa kikao cha serikali ya kijiji au mtaa ambapo mradi utafanyika.

II)TAFIRI- Kufanya survey kwenye eneo ambapo vizimba vitawekwa, kupima kina cha maji, ubora wa maji, mkondo wa maji, ukubwa mawimbi n.k. galama ni Tsh. 2,700,000/=

III)NEMC-Kufanya Environmental Impact Assessment, galama yao n 4,200,000/=

IV)Bonde la Ziwa Victoria- Kutoa kibali cha matumizi ya maji

V)Barua ya Afsa uvuvi wa eneo husika

VI) Kibari kutoka Wizara ya mifugo na uvuvi idara ya ukuzaji viumbe hai majini.

2.Kutengeneza kizimba na Kupanda vifaranga.
-Kizimba chenye urefu wa mita6, upana mita6 na kina cha mita6, kinaweza kubeba vifaranga 10,000.
-Galama za kutengeneza kizimba ni 3,500,000/= na vifaranga tsh.2,000,000 kwa vifaranga 10,000.

3.Galama za vyakula.
Kilo1 ya samaki ni sawa na kilo1.3 za chakula. Hivyo matalajio ya mavuno yatategemea pia kiasi cha chakula.
Mfano; samaki 10,000 wanaweza kufika wastani wa kilo 2500 mpaka 3000.
Hivyo watakula kilo 3250 mpaka 3900.
Vyakula vimegawanyika katika makundi 3
  • Starter
  • Glower
  • Finisher

(Galama ni kati tsh2500/kg mpaka 3000/kg)

4.Galama ya usimamizi na ulinzi wa mradi (Ni makubaliano)

5.Mavuno; Kwenye kizimba cha ukubwa wa mita za eneo 36 kinaweza kubeba vifaranga mpaka 10,000 vya sato, Matarajio ya kuvuna ni samaki 8500 mpaka 9000 ambao wanakadiliwa kuwa na uzito wa gram 400 mpaka 600
Wastani wa mavuno ni tani 2.5 kwa miezi 6.

===================
Unahitaji kufuga samaki kwa njia ya vizimba, Karibu Imani Aqua farm.
Huduma tunazotoa n pamoja na
-Ushauri wa kitalaam juu ya ukuzaji viumbe maji
-Hatua za kufuata kabla hujaanza kufuga samaki
-Kutengeneza na kufunga vizimba vya kufugia samaki
-Mbegu bora ya samaki
-Usimamizi wa miradi ya ufugaji samaki kwa vizimba.
Tunapatika mwanza Luchelele.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie +255764123459
Cc:Babilas25
Hivo vibali na gharama zake Mhm! 🤔 Utasema ni kukomoana duh!.
 
Vibali kama nasafirisha silaha vile. Nilipie milioni 4 ya kibali huo si ni mtaji wa kujenga bwawa dogo kwa simenti kwenye kiwanja changu
Na hapo ndipo hii serikali yetu inapo fail hakuna ubunifu Wa kutafuta vyanzo vingine vya mapato na ndio maana biashara Moja Kodi za Kila aina
 
Back
Top Bottom