Recent content by JODY BYABATO

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kiswahili fasaha.

    Hivi mtu ambae mmeoa katika familia moja, we umeoa mkubwa yeye kaoa mdogo unamuitaje? Mke wa mjomba ni sahihi kumuita shangazi? Mume wa shangazi unamuitaje? Baba yangu anamuitaje baba mkwe/mama mkwe wangu?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

    kijana kuwa makini unapopost vitu vya kipuuzi kwenye mijadala makini! What is kuungua/ngwengwe? Huu ni ******!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

    I AM NOT SURE IF THIS IS THE NOTE U NEED BUT IT HAS SOMETHING IMPORTANT. Taarifa kamili ya Dk. Mwakyembe hii hapa: “Nimelazimika leo Jumamosi, tarehe 18 Februari, 2012 kutoa taarifa hii kwa vyombo vya habari kufuatia mkutano wa DCI Robert Manumba na waandishi wa habari jana (17/02/12)...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hawa watoto ndio maana wanafail aisee

    nahisi kuna mambo umeficha....! watu wa tabia hii hawapo tena duniani!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwikwi (Hiccups): Chanzo na Tiba (matibabu) yake

    kwikwi husababishwa na matatizo yanayohusisha neva au misuli ya upumuaji hasa diaphragm. mfano kula haraka haraka, kula chakula au vinywaji vyenye gesi, kula vyakula vyenye viungo vingi, magonjwa ya ini au mapafu, operation za tumbo(abdominal operations), madawa kama valium nk. kwa ujumla...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni hesabu au kutokuwa makini?

    unamuabisha dokita!!!!!!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

    hata wanaume wenyewe tunachangia hali hii. mke akiwa na pesa kuliko mume tutasema '' lile jimama limemuoa'' mi siwalaumu wanawake coz mwanaume jasiri hasubiri unyonge wa mwanamke ili awe kichwa cha familia bali hutumia busara na hekima kama mwanaume.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Ni huyu huyu aliyekuwa naibu waziri wakati kina KARAMAGI wanajiuzuru, aliachwa, hakuwajibishwa na kama haitoshi mkubwa wa nchi akampandisha cheo na kumpa WIZARA aongoze, tena wizara nyeti katika nchi! haikuwa bure, kuna kitu!!!! sasa nadhani madhara yanaonekana! aliyetakiwa kuwasilisha bajeti ni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Spss version 16

    Kama research itakuwa baada ya tar 28 mwezi huu naomba kibarua cha kuwa research assistant, i may also help solving the problems you encounter in the programme! I'm serious, 0713599470.
  10. J

    JamiiForums Tanzania natafuta rafiki wa kiume wa ukweli

    Mtu yeyote anayekunywa bia atakufaa!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba awe Bikira

    Acha uzembe! Probability ya kumpata mtu wa hivyo ni 0.000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000! Weka oda kwa sir god akuumbie!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

    the story is realy interesting and educating big up! GOD BLESS YOU!
  13. J

    JamiiForums Tanzania tume ya taifa ya uchaguzi!

    naomba wadau mnisaidie hili, hivi tume ya taifa ya uchaguzi inateuliwa na nani na inawajibika kwa nani? jana kwenye taarifa ya habari niliona tume ya uchaguzi ikikabidhi ripoti ya uchaguzi kwa rais aliye madarakani je hii ina maana gani, je rais ndiye mkuu wa tume? mwaka 2006 sikufuatilia hili...
  14. J

    JamiiForums Tanzania I'm looking for female friends.

    got some peoples attention!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    kambi popote
Back
Top Bottom