Recent content by Jobalo josiah

  1. J

    JamiiForums Tanzania Stupid question, stupid answer

    Namjibu naenda kupiga kura.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

    Wk end yangu itakuwa bomba sana huku Simba kule Liverpool dah raha ilioje.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

    Liverpool kule wameshammaliza mtu sasa nasubiri Simba nao wale kanda mbili pale taifa .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Magembe ni Waziri Mzigo na Medeye ni bomu!

    Hizi kashfa ndio watu wa Arusha tumechoka kusikia na tumechoka na lazima tufanye mapinduzi.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge na diwani wako kafanya nini jimboni mpaka sasa?

    Mleta mada hebu tuambie hayo matrekta yapo wapi hapa mjini,na vikao gani vya h'shauri amehudhuria kabla ya uchaguzi wa juzi, je wtt anaowasomesha si anatumia fedha za mfuko wa jimbo. Arusha mjini hakuna mbunge.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    Ee mh Slaa utukumbuke machalii wako wa Arusha usisahau kualalisha na bangi ili manjagu waache kutusumbua.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

    Timu itakuwa kamili kicha kuongoza vichaa wenzake.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Vurugu zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr. Slaa...

    Hivi nyie watu wa Kigoma kwanini mnamuita mbunge wangu Minikabaaang.
  9. J

    JamiiForums Tanzania UWAJIBIKAJI: Kuna visima vingapi vimejengwa na CHADEMA kwa mahela ya Sabodo?

    Kwa wale wa Arusha mjini na A-mashariki vp visima vya sabodo mmepata?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika/Tanzania bara

    M4Djb 2015 oyeee
  11. J

    JamiiForums Tanzania CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

    Yangu macho na kupata misamiati mipya ya matusi.
  12. J

    JamiiForums Tanzania "...leo lazima niende Kigoma mjini, nikipigwa risasi siogopi ni mpango wa Mungu" Dr SLAA!

    Hii ndio tatizo la kutokuwa na washauri wanaodhubutu . Wao kila kitu ndio mzee.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika/Tanzania bara

    Ameva yale magwanda ya mgambo au leo katinga suti.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mdahalo 'Rasilimali zetu na maendeleo ya Taifa na nafasi ya mtanzania katika umiliki'

    Wacha bwana chezea prof Muhongo. Toka aliposema yy sio mwanasiasa nilimkubali sana.
Back
Top Bottom