alstephen0
Member
- Sep 4, 2011
- 29
- 4
angalia ITV mkuu, Mzee Reinfred Masako anatangaza vizuri sana
Nipo itv mkuu
angalia ITV mkuu, Mzee Reinfred Masako anatangaza vizuri sana
Hizo ndege huko juu sasa! Full burudani! I love my country very much
Ni kweli mkuu, hili ni tukio la kitaifa, lazima awepo
Ndege hizo za JWTZ from Ngerengere Morogoro, Moja kati ya kambi kubwa za Jeshi la Anga Tanzania.
Na ndio wanaoongoza kwa kuwinda na kuua tembo.
Huo ndio uzalendo mkuu, watu wanahau kuwa sisi sote ni watz, vyama vimeikuta nchi na vitaiachaUchama utakuua wewe. Mi leo kama leo nafurahi nchi yangu kutimiza miaka 52 ya uhuru.
Pole sana mkuu. Pokea salam toka kasulu na kigoma.
Unaongelea huo upuuzi wa magamba kufanya fujo kwenye mkutano? wananchi wanaujua ukweli na 2015 watawashughurikieni tu
Huo ndio uzalendo mkuu, watu wanahau kuwa sisi sote ni watz, vyama vimeikuta nchi na vitaiacha
Uchama utakuua wewe. Mi leo kama leo nafurahi nchi yangu kutimiza miaka 52 ya uhuru.