Uzalendo ni hali ya juu kabisa ya kujitambua ,kuitambua asili yako,kuikubali asili na jamii yako, kuipenda na kujivunia jamii yako na misingi yake yote. Kuwa tayari kujitoa,kujituma kufanya kila uwezalo mradi tu unajua ni jema kwa manufaa ya jamii/nchi yako. Kuwa tayari kuitetea na kuifichia...