Uzalendo kwanza

Uzalendo kwanza

*Uzalendo wa kufuta ajira?
*Uzalendo wa kufuta fao la kujitoa?
*Uzalendo wa kuongezeka makato ya HELSB kutoka 8-15% pasipo makubaliano maalumu ya kisheria?
*Uzalendo wa kufuta nyongeza ya mshahara?
*Uzalendo wa kuwakadiria watu kwenye kodi?
 
Uzalendo ni hali ya juu kabisa ya kujitambua ,kuitambua asili yako,kuikubali asili na jamii yako, kuipenda na kujivunia jamii yako na misingi yake yote. Kuwa tayari kujitoa,kujituma kufanya kila uwezalo mradi tu unajua ni jema kwa manufaa ya jamii/nchi yako. Kuwa tayari kuitetea na kuifichia aibu ili kuipa heshima.
Kwahiyo kufutwa fao la kujitoa na nyongeza ya mshahara ni uzalendo?
Shituka ww. Unatumiwa km condom
 
Kuna namna nashindwa kushare nawe what I know, kwasababu kuna namna umesha I tilt akili yako hutaki kuruhusu akili yako iwaze zaidi ya unayoambiwa
 
Uzalendo ni hali ya juu kabisa ya kujitambua ,kuitambua asili yako,kuikubali asili na jamii yako, kuipenda na kujivunia jamii yako na misingi yake yote. Kuwa tayari kujitoa,kujituma kufanya kila uwezalo mradi tu unajua ni jema kwa manufaa ya jamii/nchi yako. Kuwa tayari kuitetea na kuifichia aibu ili kuipa heshima.
Umesahau kusema uzalendo haufundishwi bali huja wenyewe
 
Nimeona niingie jamvini hapa (JF) nami kama RAIA na MZAWA mzalendo kabisa niweze fupata fursa kushare na watanzania wenzangu mambo ambayo naamini ni ya msingi sana kwa ustawi wa Taifa letu.
Jambo lenyewe ni UZALENDO. Kwa Leo nianze kwa kusisitiza tu kwamba hebu tutulie (hasa vijana) tutafakari mwenendo wa taifa letu kwa undani sana bila kushikiwa akili wala kutii mihemko , hakika tutagundua wazi kwamba :-
RAISI MAGUFULI ni MZALENDO HALISI MWENYE NIA NJEMA SANA ITAKAYO KUWA NA MANUFAA ENDELEVU KWA VIZAZI NA VIZAZI ktk Taifa letu.
Nchi hii watu walikwisha poteza uzalendo, (hasa wazee wengi wasomi) na hii ikapelekea maana halisi ya neno UZALENDO kupotea (mpaka sasa vijana wengi hawaelewi nini maana ya uzalendo)
Hii ni hatari kwa future ya Taifa.
Kazi kubwa na ya msingi MAGUFULI anafanya ni kuanza kwa upya kujenga spirit of uzalendo Ikiwa ni mtu pekee kufanya Kazi hii baada ya BABA WA TAIFA kututoka.
Narudia tena, tumpe muda raisi wetu, tum support kwa mtazamo mpana wa mbaali , jamaa yuko vizuri na anaeleweka.
joh. wewe kweli au?
kwa style hii rudi tu. uendee kutuletea magoma mapya. hapa hapakufai
 
Back
Top Bottom