Uzalendo kwanza

Jo Venture

Member
May 9, 2018
18
27
Nimeona niingie jamvini hapa (JF) nami kama RAIA na MZAWA mzalendo kabisa niweze fupata fursa kushare na watanzania wenzangu mambo ambayo naamini ni ya msingi sana kwa ustawi wa Taifa letu.
Jambo lenyewe ni UZALENDO. Kwa Leo nianze kwa kusisitiza tu kwamba hebu tutulie (hasa vijana) tutafakari mwenendo wa taifa letu kwa undani sana bila kushikiwa akili wala kutii mihemko , hakika tutagundua wazi kwamba :-
RAISI MAGUFULI ni MZALENDO HALISI MWENYE NIA NJEMA SANA ITAKAYO KUWA NA MANUFAA ENDELEVU KWA VIZAZI NA VIZAZI ktk Taifa letu.
Nchi hii watu walikwisha poteza uzalendo, (hasa wazee wengi wasomi) na hii ikapelekea maana halisi ya neno UZALENDO kupotea (mpaka sasa vijana wengi hawaelewi nini maana ya uzalendo)
Hii ni hatari kwa future ya Taifa.
Kazi kubwa na ya msingi MAGUFULI anafanya ni kuanza kwa upya kujenga spirit of uzalendo Ikiwa ni mtu pekee kufanya Kazi hii baada ya BABA WA TAIFA kututoka.
Narudia tena, tumpe muda raisi wetu, tum support kwa mtazamo mpana wa mbaali , jamaa yuko vizuri na anaeleweka.
 
Aisee uo ndio mtazamo wako vipi kuhusu watu wasio julikana mkuu na Wale wanao kamatwa wazima na police nakuwachiliwa wafu jeee
 
napata maana mpya ya uzalendo..nahisi unamaanisha kwamba uzalendo ni kununua mindege mibovu..au kuweka kusiko julikana 1.5 T..endelea kuwa mzalendo mkuu...
 
Uyu jamaa naona atakuwa member wa familia ya wachumia tumbo sio bule
 
Nitakujibu nini na ushasema hawajulikani ? Utajadilije kitu usichokijua aise ! ?
 
napata maana mpya ya uzalendo..nahisi unamaanisha kwamba uzalendo ni kununua mindege mibovu..au kuweka kusiko julikana 1.5 T..endelea kuwa mzalendo mkuu...
We we unadhani nini tatizo, kipi kinakosekana ktk nchi hii mpaka uone sawa kufanya kebehi kwa mambo mema na makubwa serikali inafanya tens kwa manufaa yako mwenyewe
 
napata maana mpya ya uzalendo..nahisi unamaanisha kwamba uzalendo ni kununua mindege mibovu..au kuweka kusiko julikana 1.5 T..endelea kuwa mzalendo mkuu...
Uyu jamaa naona atakuwa member wa familia ya wachumia tumbo sio bule
 
nakuonea uruma sana vijana msio jielewa kama wewe mmekuwa ndio vitega uchumi wakubwa wa ccm pole sana
 
Nimeona niingie jamvini hapa (JF) nami kama RAIA na MZAWA mzalendo kabisa niweze fupata fursa kushare na watanzania wenzangu mambo ambayo naamini ni ya msingi sana kwa ustawi wa Taifa letu.
Jambo lenyewe ni UZALENDO. Kwa Leo nianze kwa kusisitiza tu kwamba hebu tutulie (hasa vijana) tutafakari mwenendo wa taifa letu kwa undani sana bila kushikiwa akili wala kutii mihemko , hakika tutagundua wazi kwamba :-
RAISI MAGUFULI ni MZALENDO HALISI MWENYE NIA NJEMA SANA ITAKAYO KUWA NA MANUFAA ENDELEVU KWA VIZAZI NA VIZAZI ktk Taifa letu.
Nchi hii watu walikwisha poteza uzalendo, (hasa wazee wengi wasomi) na hii ikapelekea maana halisi ya neno UZALENDO kupotea (mpaka sasa vijana wengi hawaelewi nini maana ya uzalendo)
Hii ni hatari kwa future ya Taifa.
Kazi kubwa na ya msingi MAGUFULI anafanya ni kuanza kwa upya kujenga spirit of uzalendo Ikiwa ni mtu pekee kufanya Kazi hii baada ya BABA WA TAIFA kututoka.
Narudia tena, tumpe muda raisi wetu, tum support kwa mtazamo mpana wa mbaali , jamaa yuko vizuri na anaeleweka.
Anza kwa Kutoa maelezo (definition) ya Uzalendo.Kisha toa mifano kihistoria na kwa mataifa mbalimbali.Malizia na Rejea (References).Uzalendo ni kitu Kipana sana.Angalau wale machifu Kama Mkwawa tunaweza tukajivunia kwamba walikuwa wazalendo..
 
Mtoa maada unajua kwanza maana ya uzalendo!?
Uzalendo ni hali ya juu kabisa ya kujitambua ,kuitambua asili yako,kuikubali asili na jamii yako, kuipenda na kujivunia jamii yako na misingi yake yote. Kuwa tayari kujitoa,kujituma kufanya kila uwezalo mradi tu unajua ni jema kwa manufaa ya jamii/nchi yako. Kuwa tayari kuitetea na kuifichia aibu ili kuipa heshima.
 
Kwa hiyo wewe na huyo unaemtetea au kumsemea hapa kwenye uzi wako ni wazalendo?tshs1.5T rudisheni na ajiuzulu huo ndo uzalendo you chicken head.
 
Back
Top Bottom