Recent content by jo-sure josephat

  1. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

    Sasa hilo frem la kariakoo unataka kumuachia nan??
  2. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Polen sana mtani ila hii mechi ilikuwa yenu... sema tuu fitina na figisu kwenye mpira zipo na ndo mlichofanyiwa
  3. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Eti AGHA KHAN itakufa?? Unaijua hyo hospital vzur au na ww unashabikia vitu usivyovijua... AGHA KHAN ni dude kubwa
  4. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    We miso misondo umepigaje hapo?? [emoji1787][emoji1787]
  5. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Viongozi wa Dini Wanataka kumdhoofisha na kumpa hofu Rais Samia

    Akina mwijaku na kitenge mpo wengi
  6. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Wilaya yenye guest house nyingi

    Morogoro mjini pale msamvu zimejipanga kama makaaz ya watu
  7. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Ninatarajia kusafiri kwenda Kenya, ni vitu gani vya kuzingatia hasa pale mpakani Namanga?

    Ukifika nairob CBD usithubutu kutema mate hovyo, kukojoa uchochoron au kutupa taka hovyo... ukidakwa na makanjoo utaishia mahakaman kama hutowapooza
  8. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Proffession: Driver Experience : 4 years Education: Form 4 Location: Mtwara
  9. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Hawa walitakiwa wawe porin huko na akina swala, yaan vibur ultra pro max....
  10. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ajira Portal

    Mwendo umemalza mkuu, sikuwa shortlisted kwa sabab nliupload picha baada ya deadline
  11. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Aya majina yametoka, kila aangalie jina lake hapo
  12. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    "Alikamatwa Febuari 5 na Febuari 6 alichukua uamuzi wa kujinyonga kwa kutumia mshipi wa kaptula yake ya ndani"
  13. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Hili nalo neno asee
  14. jo-sure josephat

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Labda saiv haitakuwa na gap kubwa, tukae kwa kusubir mkuu
Back
Top Bottom