Recent content by jnr G

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Kwa tuzo hizi kwa ukanda wa afrika mashariki kachukua mtu mmoja, bado anapigwa madongo, waangalie nigeria nchi moja imebeba ngapi? Ndipo utajua tunasafari ndefu. Tuongezeni wasanii wengi kimataifa na sio kupunguza hicho kimoja tulichonacho
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Hizi tuzo si rahisi kupata kama wengi wanavyofikiri, ndo mana kuna umuhimu wakupeleka wasanii wengi kimataifa, cheki wanigeria wamezoa tuzo kibao, sisi tumekalia majungu
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Kupitia hizi tuzo za mtv, kuna kitu chakujifunza, jamaa wanatenda haki nakuangalia vingezo mbalimbali zaidi yakupiga kura, sio hizi tuzo zetu zinatoka kama njugu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mbunge wa Iringa

    Msigwa ni moja ya wabunge wazuri na wanaojua kujenga hoja kwa maslai ya Taifa, tunahitaji wabunge wengi wenye mtazamo kama wake katika Bunge lijalo na sio kuwapunguza nakutuletea waganga wakienyeji kutunga sheria.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Habari kwamba Makonda ameita wahitimu wa vyuo wasio na kazi waende kwake ni kweli?

    Serikali yake imeshindwa kutoa ajira yeye ndo ataweza
  6. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

    Dawa yakuondoa mfumo wa wizi nikuondoa mfumo uliopo na kuweka mfumo mpya, Watanzania tusitegemee jipya sana kutoka kwa Magufuli, ingawa tunatambua utendaji wake ila hawezi kwenda nje ya mfumo uliomweka, swali rahisi lakujiuliza ni je Magufuli akigundua wizi wa waliomtangulia hasa maraisi ataweza...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

    Kazi ipo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi clouds fm

    Peleka kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni
Back
Top Bottom