Recent content by jngowi

  1. jngowi

    Joseph Mbilinyi(Sugu) abakie rumande kwa usalama wake, nilishauri hata Kwa Lissu

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
  2. jngowi

    Tibaijuka: Ukiona watu wanahangaika na mavazi ya mwanamke ujue wana matatizo yao

    Lazima ueleze pesa umepata wapi yakukuwezesha kupata kitambi
  3. jngowi

    Hivi ni kosa kupiga/kuchukua picha ya Askari wetu JWTZ wakiwa katika mchakamchaka.?

    Ndugu zangu msijitie majaribuni kama unatest uwezo wa simu yako piga hata nyasi Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  4. jngowi

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Kuanza kujitegemea nikiwa mdogo sana. Hata sasa sihitaji kusaidiwa hata tatizo liwe kubwa vipi
  5. jngowi

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tafadhali naomba nirudishiwe pesa mlizikata tangia tarehe 30 mwezi wa nne za Jay milioni . Mimi sija wahi kujiunga na hiyo kitu. Nimeshangaa leo sina salio kwenye simu na jana nilijiunga na kifurushi cha week.
  6. jngowi

    Makato ya Jay milioni

    Jamani nimekua nikikatwa pesa kila siku za kushiriki Jay milioni ya vodacom pasipo mim kuridhia. Nimeshtukia hili baada ya kuona salio limeisha na Jana nilijunga na kifurushi cha wiki. Nimewapigia customer service ndio wakanieleza nakatwa kwa kushiriki Jay milioni . Je Wandugu kuna mwingine...
  7. jngowi

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    For this I salute you my president
  8. jngowi

    Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

    Mleta mada anaonyesha kabisa anajibu ndio maana anaanza na "tuwe wa kweli" Kwangu mimi hivi ni vitu wili tofauti kabisa Diploma na Degree. Mimi nilisoma diploma kisha degree ya kwanza na ya pili tayari; sasa natafuta ya tatu PhD; Japo sikusomea ualimu ila nahisi mambo mengi yanashabihiana...
  9. jngowi

    Wana JF hii faculty nayo ikoje!

    After this is the course that you can create your own employment such as providing service to mining industries, oil and gas industries, manufacturing industries etc. Services such as carrying out machine maintenance services, design and installation of refrigeration systems, designing and...
  10. jngowi

    Wana JF hii faculty nayo ikoje!

    Sijaelewa unavyosema '"ina lipa?" kijana kwa taarifa yako course zote duniani zinalipa ila inategemea na jinsi ulivyoichukulia na mwenendo wa ajira katika nchi husika. Mechanical ni moja ya course mama katika engineering sio CoET tu ulimwenguni kote hii ikiwqa ni pamoja na Civil, na Electrical...
  11. jngowi

    Kodi ya Sim: Mhariri Mkuu wa Daily News (Gabriel Nderumaki) anaishi dunia gani?

    Definitely she is living in an environment of extreme poverty ; but Is she owning a mobile phone? I don't think the editor's argument targeted these group
  12. jngowi

    Moshi Technical School thread

    Nilimaliza pale form four 2005. Nakumbuka sana mpande alikua anatukimbiza mabwenini. Alikua mtaalam wakukariri visogo vya wanafunzi wakiwawanamkimbia kuelekea orchard, tukaanza mbinu za kujifunika na mashati vichwani wakati wakukimbia nae akatuambia jioni kwenye assmebly 'sasa nimeanza kukariri...
  13. jngowi

    Moshi Technical School thread

    Aliyevua shati alikua anaitwa mzee makabila
  14. jngowi

    Dem wa mshkaji anazingua, naombeni ushauri

    kupotezeana mida yakufikiria maendeleo au mnatumwa kutunga hadithi zakufikirika. Wapenda maendeleo msidanganyike
Back
Top Bottom