Dem wa mshkaji anazingua, naombeni ushauri

Dem wa mshkaji anazingua, naombeni ushauri

Nimegundua watu wengine huleta hadithi kama hizi zakufikirika ili watu waache kujadili mambo ya msingi yakulipeleka Taifa hili pazuri. Natoa tahadhari kwa wapenda mabadiliko msipotze muda kwa hadithi za kipuuzi kama hizi
 
kupotezeana mida yakufikiria maendeleo au mnatumwa kutunga hadithi zakufikirika. Wapenda maendeleo msidanganyike
 
Back
Top Bottom