Recent content by JNC8

  1. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    huyo ni mlinzi wa Rais/ usalama, pia kipindi cha kikwete alikuwepo, yupo kweny rank 1 ambapo ni ya juu sana hutumika sehemu zeny mikusanyiko mingi kama viwanjani na sehem za misongamano kwa ajili ya kumlinda Rais, kuna rank 2, 3 ambao nao wanamlinda Rais sehem tofauti tofauti.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

    okky mkuu ipo umbali gan kutoka Airport
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

    shukran mkuu, okk ipo kama km ngapi kutoka mwanza Airport
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

    Habarn wandugu mimi ni mkazi wa Arusha natazamia kuwa mwanza mwez wa nane kwa mapumziko ya wiki moja, hii itakuwa mara yangu ya kwanza kufika mwanza, ningependa mnijuze hotel au lodge nzur za bei nafuu avg-50 to 80 Tsh per night, pia na sehem nzur za kutembelea. Asanteni.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

    mkuu nashukuru kwa matokeo ila hzo kura ukijumlisha znakuja 2611, wakati wajumbe waliopga kura walitangazwa kuwa around 2400, hzo nyingne zmetoka wap? au na wale wachina nao walipiga
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    mkuu nakubaliana na wewe ila hyo ya jk kumbeba na kumfikisha tatu bora cyo sawa, kilichotokea kweny tatu bora hakikutarajiwa, choice za jk zilikuwa mbili tu. jaji augustino bernard membe karata zake zmeshndikana kutokana na mvutano wa kimakundi,mpaka kutokea kundi moja kupiga kura za kukomoa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ukawa njia nyeupe znz hawahitaji mwanamke

    mpaka october ifike tutakuwa na CCM mbili
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    1.migiro 2.magufuli 3.lowasa 4.bilali 5.membe chanzo cha uhakika.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomnanga jkikwete............mazishi ya madiba, kidedea!

    Ni kweli ameongea vizuri, speech nzuri na audience ilimsifu kwa kumpigia makofi,, hayo yote yalikuwa ni mazuri hasahasa kwa mtu uliepata muda wa kuangalia....... Lakini sasa speech yake haifuti mabilioni ya uswisi, haifuti mali asili zinazotokomea kila kukicha, haifuti sifa kubwa ua madawa ya...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Please wadau ushauri to rescue my marrige

    Pole sana... mi napenda kujua wakat anajifingua alipatwa na tatzo lolote? Alijifungua kawaida au operation, km kawaida alichanika au kuongezewa njia?? Afu ntajua jibu la kutoa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    Hee sasa mbona ww hauko bungeni? Km kusoma sana ndo kuingia bungeni maprofesa wote wangekuwa huko,,, hushangai pamoja na kusoma kwako kuna alieishia std 7 kakuzdi kwa kila kitu... hyo ni akili ya maisha.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Hawa jamaa wanacheza na akili zetu, unafikiri km tungekaa kimya angekanusha hyo kauli? Sauti za watu ndo zmemfanya akanushe lakini nia yao ipo palepale.
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitamwachaje Huyu binti?

    Hali kama hiyo huwa inatokea kwa bint ambaye ni mara ya kwanza kuwa kwny mahusiano na pia inaonekana ushaonja.. USHAURI kuwa makini sana kwa mabint km hao kwan yupo tayar kujiua kwa ajili yako so nenda naye taratbu.
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujua,kumbe nilikuwa namsindikiza kila siku mpenzi wangu akalale kwa bwana wake

    Pole sana mkuu.. ndo ya dunia hayo, ila umesema ana bwana so ameolewa au..
Back
Top Bottom