Nitamwachaje Huyu binti?

Nitamwachaje Huyu binti?

Bwana mdogo kumbuka hayo unayotaka kumfanyia mwenzio ipo siku na wewe utakuja kufanyiwa na wanawake na utajuta kuzaliwa, sio tabia nzuri ya kuumiza wenzio bila sababu ya msingi. Shukuru sana Mungu wako amekupatia mwanamke anayekupenda toka moyoni, haijalishi hali yake ya uchumi, elimu yake na rangi yake, unachotakiwa kukifanya komaa na huyo binti dogo acha kuhangaika na wanawake hawa kwani utakuja kuishia pabaya na hutokuja kupenda tena
Wanaume wote wangekuwa na fikra kama zako wewe...the world could have been a better place!!
 
1383407006676.jpg
 
mwambi ukweli tu humtaki...unaweza uporomoshewe matusi au kipigo lkn si mbaya kwa siku moja lol...Ukitaka cha mvunguni shurti uiname....

hivi yeye alipomtongoza alitegemea nini???

achungulie tu ------ halafu amuacheeeee???

aisee ningemjua huyo binti ningempa msaada wa kisheria,

huyu jamaa apigwe tu!!!!!
 
Duuu! Safari hii umeingilia mlango wa kutokea. . Umezoea kuwamega na kuwatema kama big jii eeh! Nipe namba yake nimshauri aende kwa singololo akakufanyie mandingo utulie na umuoe.
 
No aisee sijafikia stage hio!!Ila nina ndugu wa karibu alienda wendawazim kabisa!!

aseee nduguyo akawa chizi kabisaa kwa sababu ya mapenzi au kwa sababu nyingine?:A S-confused1:
 
Hali kama hiyo huwa inatokea kwa bint ambaye ni mara ya kwanza kuwa kwny mahusiano na pia inaonekana ushaonja.. USHAURI kuwa makini sana kwa mabint km hao kwan yupo tayar kujiua kwa ajili yako so nenda naye taratbu.
 
aseee nduguyo akawa chizi kabisaa kwa sababu ya mapenzi au kwa sababu nyingine?:A S-confused1:
Aliumwa kwa muda tu hospitali wakasema aachwe anaumwa ugonjwa wa mapenzi...ha ha ha alikuwa sawa!
 
Ajiue kwaajili ya kupenda??wangekufa romeo na juliet kwanza....tungeshakufa wengi aisee!!

Chezea wahehe! wanaweza kujitundika kwa kunyimwa chakula nini dudu
 
mwambi ukweli tu humtaki...unaweza uporomoshewe matusi au kipigo lkn si mbaya kwa siku moja lol...Ukitaka cha mvunguni shurti uiname....
Mimi49 sio simple kiasi hicho tatizo watu huja kuomba ushauri maji ya kishamwagika lakini alipotaka kuyachota hakuomba ushauri ayachote kwa style gani na kwa kiasi gani tatizo la kuchukulia mahusiano kama maigizo wakati ni kitu halisi unapotaka kumwacha mwenzio jifikirie ingekuwa ndo wewe umempenda mtu ila ye hakupendi na anatafuta gear ya kukubwaga jifikilie ambavyo ungeumia au utaumia vipi ndivyo ilivyo kwa mwenzio tuache usanii kwenye mapenzi hili taifa haliendeleii sababu ya watu kuleta mizaha katika mambo yasiyo ya mzaha tubadilike
 
Ameshalikoroga alinywe sasa!!!Ndio inabidi aface reality!!!
 
Mkuu ni bora kumueleza ukweli kwamba humhitaji kuliko kumtesa..mwishowe utalogwa mjamaa atakua hasimami shauri yako..
 
ulimtamanieeee!!

ngoja utasikia habari yake sasa, ukome kuchezea watoto wa watu. Habanduki ng'o na kifuatacho ni kijusi.
 
Ameshalikoroga alinywe sasa!!!Ndio inabidi aface reality!!!

Haswa hilo ndo jawabu mijitu inazani kudanganya wenzao ni ujanja bora mdanganye vingine sio mapenzi kutokana na hulka tulizoumbwa nazo wanaume tunawaonea sana wanawake sio na watetea ila wanawake wengi huwa wana imani sana na akikuamini hata aje nani amwambie amemshuhudia jamaa yake guesthouse hawezi kumwamini hadi aone kwa macho yake ndo ataamini japokuwa kwenye msafara wa mamba mijusi kenge hawakosi ila wanawake wengi wanaume ndo tunawavuruga na kubadilisha tabia zao
 
ulimtamanieeee!!

ngoja utasikia habari yake sasa, ukome kuchezea watoto wa watu. Habanduki ng'o na kifuatacho ni kijusi.

Umeniua na kicheko watu huwa wanapenda kufanya ila matokeo hawayataki kibaya kiinachouzi ni pale wanapokuwa wakariiii as if hawakujua matokeo kabla kuna matokeo mawili makuu raha utaipata ni lazima then kuna probabilty mbili zote zipo half half kijusi na ukimwi kijusi kinaweza kupatikana au kisipatikane vivyo hivyo ukimwi balaa kwa anayeibuka na vyote
 
Back
Top Bottom