Ukawa njia nyeupe znz hawahitaji mwanamke

Ukawa njia nyeupe znz hawahitaji mwanamke

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Wadau nioo Zanzibar .mitaani karibu kila ninaekutana nae anachekelea tano bora wanadai kura zao haziwezi kwenda kwa rais wala makamo mwanamke. Hawawezi kuongozwa na mwanamke yangu macho. Wananukuu aya ya Quraan. "mwaname ni kiongozi wa mwanamke"
 
Tz bado sana kufikia kuongozwa na mwanamke, ya makinda yametutosha.
 
A union of equals indeed. Tanganyika amepiga perfect hat trick- guu la kushoto, guu la kulia, kamaliza na bao la kichwa.
 
Back
Top Bottom