Natafuta mtu aliyesoma kuhusu mifugo na yupo competent tuwasiliane hasa awe anajua production ya chakula cha kuku na mifugo mbalimbali. Tuwasiliane through call/Whatsapp 0658183618
Ok to the point inafaidishaje watz wenzake
Atawaajiri
Atafungua kingine bongo
Tuseme na faida zake kuwa mtz haitoshi
Maana hata elon mushi katokea S.A lakini yupo kwa trampo
Hapa umesema kweli lakini imeelekeza lawama sehemu isiyo sahihi chanzo cha yote ni udanganyifu wa shetani na tamaa za mtu mwenyewe sababu inaweza kuwa wanaume lakini pia inaweza kuwa wanawake wenyewe kudanganyika
Wenje kasema ukweli akidhani ananyoosha but in reality ni Yuda fresh na lisu has nothing to loose except Truth ndio maana hakuogopa kumtaja hata Chair wake
UTANGULIZI
Ndugu zangu na wanachama wenzangu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,
Tangu mwaka jana, chama chetu kimekuwa katika Uchaguzi Mkuu kichama. Katika Uchaguzi Mkuu huu, sisi wanachama wa CHADEMA tumekwishafanya uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi mbali mbali za chama, kuanzia ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.