Ndugu wana Jamii Forum,
Kwa mara nyingine tene nasikitishwa na kufungwa kwa timu yetu ya mpira wa miguu ta Taifa Stars na Amavumbi!
Hivi sisi tutakuwa kichwa cha mwendawazimu mpaka lini? Tangu Mzee ruksa atoe msemo huo ni takriban miaka 20 sasa, bado tuu, twanyolewa tuu, du kazi kweli...