Vijana tuwaambie wabunge wetu hatuitaki ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana tuwaambie wabunge wetu hatuitaki ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chuck j, Aug 24, 2011.

 1. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,982
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wanajamii 2waambie wabunge we2,wasifanye mchezo huko bungeni,waikatae hiyo ripoti,otherwise 2tawapinga kwa maandamano.
   
 2. Wakusini

  Wakusini JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 455
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 80
  Tena tunawaomba wasichakachue kabisa maana patachimbika! Tumechoka,hali mbaya ya maisha yanapanda,halaf wanafanya mchezo!
   
 3. J

  JMU Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uamuzi wa kuunda Kamati teule kuchunguza pamoja na sakata la Jairo, kuingiliwa mamlaka ya bunge, ni dhahiri utakuwa na manufaa zaidi ya kasheshe la Jairo, kwa maana mchakato mzima na matokeo yake yataingiza adabu na akili kidogo kwenye vichwa butu na sugu vya watawala wachwara waliolewa madaraka wakiamini wao ni miungu wadogo
   
 4. D

  Danniair JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana mtoa mada. Ripoti ya Utohu imeidhalilisha sana serikali yetu pia. Nashauri na yeye achunguzwe mali zake. Huenda ktk kipindi hiki cha Jairo zimeongezeka. Ikumbukwe kuwa wote wawili ni viongozi wanaofahamiana. Na CAG hatoki mbinguni kuja kufanya kazi hapa pale aitwapo. Hii inaweza kuwa kama ile Ya vijisenti na Hosea. Wabunge msilale na iwe kama ile ya richmond. Songa mbele
   
Loading...