Recent content by JMC prod
1. JMC prod
Ubora wa degree za UDOM na St Joseph
Kaka mb0na nimepangwa mucobs t means hakina ubora au? Duh naächa chuo..
2. JMC prod
Bodi Ya Mikopo Kwa Wanafunzi Ivunjwe
Hoja co badget. Ishu ni wapi tule na walofanikisha sisi tule nao watapata nini? Iyo ndo inayoleta matatizo lukuki, kila m2 heslb ana kula kulingana na cheo na mkuu wake alivyobakisha... Hii hela sio kodi wala hela ya serekali ni ela ya mkopo toka benki kuu ya dunia kwa kusaidia elimu...
3. JMC prod
Ku apeal..
Any 1 4help pls.
4. JMC prod
Ku apeal..
Wazaz msaada kwa hili. Nikipiga hesabu ya ela ya meal, acumdtn, stationry, field n research haitoshi kulingana na amount nilopewa kama fee imejumlishwa t means ni kias gani? Au amount wanayonilipia itatumwa chuo then niongezee? Mlo enda bodi na mwenye ufahamu anisaidie tafadhali..
5. JMC prod
Ku apeal..
Duh
6. JMC prod
Heslb wasalimu amri
Wazaz nauliza tena ile 7500 imejumlishwa kwenye ela waloandika. Yani 1.8mil kwa mwaka.
7. JMC prod
Ku apeal..
Do u knw maana ya yatima? Kusomeshwa na michango ya ndugu. Nw useme awaachie wengine au aache chuo?
8. JMC prod
jamani hawa tcu nifanyeje
9. JMC prod
Wanafunzi tuliokosa mikopo baadhi tupo hapa wizara ya Elimu.
Kama wanaume alisi.. Thanx brothers msiache ku2juza wa mikoani so hai2gusi u knw hasira hadi mwisho unacheka+machoz ndo kinachoendelea.
10. JMC prod
Msaada wa mawazo plz.
Nataka umpokee chaliangu anakuja Ud. Afu kapewa mzigo wa ukweli, koz yake inausu cultr n traditn ivi
11. JMC prod
Msaada wa mawazo plz.
Mzaz upo chuo gani?
12. JMC prod
Ku apeal..
Shukran kwa wote always together as 0ne.. Thanx alot brothers
13. JMC prod
Ku apeal..
Thanx mzaz
14. JMC prod
Takwimu ya bodi ya mikopo mwaka huu hii hapa
Thanx again mkuu
Back
Top Bottom