Recent content by jmahava30

  1. jmahava30

    Jiji la Dar kufumuliwa, Kupangwa upya

    yeap ni kweli kabisa tatizo kubwa viongoz wetu wengi wana ufinyu wa akili kubadili dar es salaam ni ndoto ya linacha na kutia loss serikali kikubwa ni kuweza kuhama dar es salaam na kutafuta chanzo kingine cha kuweza kusababisha dar watu wapungue
  2. jmahava30

    Babu Tale na Mkubwa Fela wanyonyaji

    kila kitu huwez kufanya bila ushirikiano na kugawana kidogo ndyo maana hata baba yako na mama yako wanapokupeleka shule usome na ukashika elimu na kuwa katika nafasi nzur n lazima kuwaheshimu
  3. jmahava30

    AJALI: Basi la Princess Muro lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

    asante ALLAH kwa kuwaponya lakin huyu dereva nahis siyo mzma wa akili yaweza kuwa alijua yupo kwenye bodaboda
  4. jmahava30

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    mbna itafahamika tu wanajifanya wao ndyo kila k2 na ngoja ipo cku itakuwa aibu yao na nchi wataikimbia
  5. jmahava30

    Shahidi aeleza jinsi alivyokataa kufanya ngono na Mch. Jaen (Mgeni wa Mama Rwakatare) bila Kondomu

    nothn 2 say kwn hii nchi dini n kimvul cha maasi xo jipange prezda
  6. jmahava30

    Angalia Picha MAJAMBAZI 3 WAKAMATWA NA POLISI BARABARA YA MANDELA BAADA YA KUIBA PESA

    daaah kwl hapo ngoma droo kama hawa wazee wa kuchakachua wamekamata majambaz n maajabu!!!
  7. jmahava30

    Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

    mmh mh kwl cku hz dunian n usnitch mwanzo mwsho RIP
  8. jmahava30

    Nauza simu (samsung galaxy s3)

    just cul show cost
Back
Top Bottom