Chadema mnalaumu nini?Adui mkubwa wa Upinzani ni Chadema (Mbowe),kwa sasa hakuna chama cha upinzani kingependa kuungana na Chadema,mwaka 2015 NCCR na CUF viliungana na Chgadema (UKAWA)kwa waliofatilia nini kilichotokea kwa hivo vyama?safari hii kila chama kimeona kipambane kivyake,kwa sababu...
Ndugu zangu mi nina mtaji wa kiasi cha milioni tisa lakini kusema ukweri sijui nifafanye biashara gani,na hii yote nikwa sababu sina uzoefu na biashara,na kwenye hili lazima niwe mkweri,ninaishi hapa Kibaha Pwani
Sent from my B-TOUCH10 using JamiiForums mobile app
Simba Sport Club ndo bingwa kwa sasa Tanzania Bara,Na Rais wetu mpendwa wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh JPM yuko njema,anachapa kazi ile mbaya yaani utadhan ndo ameapishwa leo kwa jinsi anavyochapa kazi
Mana majivuno sana lakini mna dhiki sana,tukiwafungia mipaka full kulialia tu,cgezea njaaa,asisi huku Tanzania hata tukijifungia tunachakula cha kutosha sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.