Recent content by jknhfdd

  1. jknhfdd

    JamiiForums Tanzania Malipo ya mtandaoni kwa tanzania ni pasua kichwa sana

    Kwenye seting za ilo game hujaweka uko tz ndiomana una ambiwa ulipe kwa usd alafu saiz tumia m pesa direct sio lazima mastercard au visa
  2. jknhfdd

    JamiiForums Tanzania Wana tech msaada wa app ya Whatsapp inayoruhusu kuforward kwa watu wengi

    Broadcast iyo inakua kama group au
  3. jknhfdd

    JamiiForums Tanzania Wana tech msaada wa app ya Whatsapp inayoruhusu kuforward kwa watu wengi

    Ndio maana nikaomba anae jua inayo foward zaid kama gb ilikua haina limit
  4. jknhfdd

    JamiiForums Tanzania Wana tech msaada wa app ya Whatsapp inayoruhusu kuforward kwa watu wengi

    Msaada wa app ya Whatsapp inayoweza ku forward message nyingi kwa wakati mmoja maana hii ya kawaida inatesa kufoward kwa vitu kwa watu wengi nilizoea GB lakini nayo mwisho kuforward watu wa tano kama kuna Whatsapp mtu anaijua naomba link please.
  5. jknhfdd

    JamiiForums Tanzania Hivi nani amewahi lipia Odds za Wakenya akashinda

    Kila ninapo pita mtandaoni nakutana na matangazo ya hawa Wakenya wanauza Odds 200 za betting kwa 75,000 wengine 80,000 na wanasema ushindi ni 100℅. Nataka kujua kama kuna mtu amewahi lipia akashinda.
  6. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Umeona
  7. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Inaonesha ujawai patwa
  9. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Sijamuacha mimi yeye kaamua tuachanenimejaribu kumbereza kwa akili yangu yote imeshindikana
  10. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Ushauri wako nimeupata mkuu lakin wakati nilionao bado ni mgum sana[emoji24]
  11. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Asante kwa maneno mazuri na yenye busara[emoji1303][emoji1303]
  12. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Lengo nipate maneno ntakayo mwambia ili abaki akijua bado nampenda
  13. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Kama nilivyo sema shida mke wangu sio mzuri kwenye kingereza kwaio nafikili hataelewa nikimtumia iyo
  14. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Nimemuacha aende kwasababu zilizo nnje ya uwezo wangu kama nilivyo andika apo juu nimejitaidi kumludisha lakini imeshindikana kabisa
  15. jknhfdd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

    Nikweli nimeamua kwa ugumu lakin imefika hatua kila nnacho andika nafuta naona kama sio sahihi kumtumia
Back
Top Bottom