Hivi nani amewahi lipia Odds za Wakenya akashinda

jknhfdd

Member
Apr 4, 2017
74
49
Kila ninapo pita mtandaoni nakutana na matangazo ya hawa Wakenya wanauza Odds 200 za betting kwa 75,000 wengine 80,000 na wanasema ushindi ni 100℅.

Nataka kujua kama kuna mtu amewahi lipia akashinda.
 
Watumie kwanza hiyo pesa ili uone kama utashinda au la, halafu uje utupe mwenyewe mrejesho.
 
common sense.

kama wana uhakika na odds zao wabetie badala ya kuuza.
 
Vitu vingine huitaji hata kuingia darasani kujua kama hao jamaa ni matapeli. Maisha sio rahisi namna iyo
 
Acha uzembe fikirisha akili yako, hizo odd kama ni kweli kwann wao wasiweke wapate pesa mingi zaidi.
 
Back
Top Bottom