Wana tech msaada wa app ya Whatsapp inayoruhusu kuforward kwa watu wengi

jknhfdd

Member
Apr 4, 2017
74
49
Msaada wa app ya Whatsapp inayoweza ku forward message nyingi kwa wakati mmoja maana hii ya kawaida inatesa kufoward kwa vitu kwa watu wengi nilizoea GB lakini nayo mwisho kuforward watu wa tano kama kuna Whatsapp mtu anaijua naomba link please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom