Recent content by jklop

  1. jklop

    Simba SC yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari hivi punde

    Hakuna team hisiyofungwa kuna mtu UEFA alichezea mkono Jana MTU kala NNE ndo mpila huo sasa Uwanjani unashindwa unalazmisha za mezani kisa kimipangomipango mi nasema hao ndo wanaturudisha nyuma kwenye soka letu SIO Jamal Malinzi anayepigana kutuundia soka LA Vijana na wanawake wawe tegemeo LA...
  2. jklop

    Simba SC yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari hivi punde

    Simba wana kikundi kidogo cha viongozi wahuni hao ndo wanatualibia soka letu LA Tzee ,Eti Leo wanadiriki kusema watamwaga mbonga sasa hayo madudu walikua wapi siku zote iwe Leo?Ifike kipindi Viongozi wa Mikia waache Siasa za kuwaongopea wanachama na mashabiki wao maana wamekua ni watu wa kupenda...
  3. jklop

    Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

    Huyu jamaa alishawahi kupita kule kahore nini maana anacharactet zote za usani
  4. jklop

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Ila kama hajajibu vile kazungukazunguka ila kama wanamsingizia si awashitaki mahakamani kwa kuaribiwa jina??
  5. jklop

    Aliyetuhumiwa kumpatia kiwanja RC Makonda, aeleza uhalali wa umiliki wa eneo hilo

    Mpaka mh waziri mwenye zamana amelizungumzia basi kajilizisha na nyaraka zilizopo
  6. jklop

    Hassan Ngoma @ Clouds 360 : Rais yupo kwenye Kwaresma asichokozwe

    Hakifanya Kazi kwa mujibu Wa sheria sizani kama nikosa na nafikiri akitumbua atakuwa anapata swawabu kubwa kwa Mungu maana bado atakua anawasaidia wananchi wenye kuitaji maendeleo na kwa kipindi hiki tunashauriwa kuwasidia wenye kuitaji.Mi naona ndo kipindi bora kabsa cha kufagia wale wasiotenda...
  7. jklop

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Vijana wanapenda kutumika kwa ujinga
  8. jklop

    RC Makonda: Kuna waumini 12 walipanga kunitupia majini

    Hizi kiki za kazi nafiki za kuwataja wachache kisha kumsingizia PM kakukataza
  9. jklop

    Baada ya Loans Board kufanya yao jana hii ndio tofauti ya Diploma na Degree kwa Walimu

    Wacha zikatwe zikawasaidie wengne maana watzee tunapenda dezo Sana, hii sio kwa walimu tu ni sekita zote
  10. jklop

    Tunataraji sakata la Makonda kutuhumiwa kufoji cheti litinge bungeni April, Ndalichako jiandae

    Sio mbaya kujiakikisha kwa uchunguzi,pia tukumbuke hakusoma peke yake so kunawanaomjua vzr pia kama yeye ni Masafi ahionyeshe jamii usafi wake
  11. jklop

    KIBITI: Watu watatu wameuawa akiwemo Afisa wa Upelelezi (OCCID)

    Mkoa wa Pwani haswa maeneo ya mkuranga, Kibiti, kimanzichana na Ikwiriri nasasa Jaribu, watumishi wamekua kwenye wakati mgumu sana katika utendaji kazi wao Serikal inabidi iliwekee mtazamo wa kina sana maana imekua hatari Sana. Mauji yamekithiri Sana,
  12. jklop

    Diva: Natamani sana kutoka kimapenzi na Ali Kiba

    Wanatafutiana kiki
Back
Top Bottom