Recent content by Jiwe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

    Alinunua babu mpaka mjukuu anatumia!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Dr. Paurine pokea heshima yako mkuu. Mmmh! ila umetumia dozi kubwa sana kumnyamazisha ndugu. Lukosi kiasi naona hata maisha yake ya kawaida yameguswa. Nadhani atakuwa amepatwa na msongo mkubwa sana. Wakati mwingine jaribu kushusha kiwango cha fikra kwani unazungumza katika abstract level kitu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nipeni tofauti ya January Makamba na Deo Filikunjombe

    Exactly, that's very objective!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua viongozi wa kisiasa wamefanya elimu yako kuwa ya kichina jibu swali hil

    Hey father, what is my ordinal position of birth? LOL! lugha gongana!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mlikuwa mkiitaje enzi zenu?

    Respect mkuu Sikonge. Tuliita INYALI, MANYALI ni wingi wake.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Mkuu Sambali nashukuru sana. Sasa tunahitaji nguvu zaidi kwani hapa Mkolye akina Sambali mko wengi sana. Nadhani hata huko KILOLELI wapo pia. Hivyo hamasisha jamaa zako walioko KILOLELI kwani kura zao ni muhimu sana katika kuhakikisha ushindi. Makamanda karibuni sana Mkolye kama ni matunda...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Asante Mkuu Osaka. Japo Mpombwe si jirani na Mkolye, nitajitahidi kufikisha salamu na kuunganisha nguvu kwa ajili kwa ajili ya vita hii ya kuyeyusha fikra mgando kwa wakazi wa Sikonge. Karibuni Makamanda wote kwani huku Sikonge tunawahitaji sana.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Mkuu Sikonge karibu sana Mkolye. JIWE la kuteleza 'isyenentelo' bado lipo kwani ni Landmark muhimu sana hapa kijijini. Na kwa taarifa tu, hilo JIWE ndiyo maana halisi ya ID yangu "Jiwe". Karibuni wote tuteleze kwenye JIWE huku tukiendelea kutafakari harakati za ukombozi wa fikra kwa watanzania.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Asante mkuu Malata tuko pamoja na tunaendelea kutoa hamasa hapa Mkolye. Ndiyo maana tunatamani Makamanda wafike kutoa hamasa zaidi. Hii ndiyo twanga kote kote!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Makamanda karibuni sana wilaya ya Sikonge. Nipo hapa kijiji cha Mkolye, basi wakati mkirejea makwenu msisahau kupitia hapa kutuamsha amsha!
  11. J

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Usiogope Mungu yupo pamoja nawe, afya yako ni chachu katika kuboresha sekta ya afya nchini. Umerejea muda muafaka, sasa hebu nawe "futurisha" na uweke wazi ukweli ili Watanzania wapate kuwa huru. So long Dr. Ulimboka!
  12. J

    JamiiForums Tanzania You can chop ma money.......

    Kijana wa Ki Nigeria akivuta jiko lake... Hili ni jiko au jokofu????? Atiii...mmmhhh!! Vipi ulitegemea 'mchina'? Mengine 'outdoor' kulingana na msimu!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na mazungumzo na ujumbe wa CHADEMA

    Wajameni, isijekuwa ni mpango wa kuhakikisha tu Dr. Slaa nae anakwenda Ikulu kumuona Rais.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vyandarua au mazalia ya mbu?

    Aah! Watu hawatumii vyandarua, kwani vinapunguza nguvu za kiume. Habari ndiyo hiyo!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wameliona hili?

    Kauli ya CHADEMA: Pipoooooooz!! Pawaaaaaa!!! Au "Nguvu ya umma". Huu muziki hata CCM wenyewe wanauimba bila kutaka. Upo hapo? Yaani CHADEMA wanakubalika kwa kauli zenye mvuto kwa jamii!
Back
Top Bottom