Recent content by jitu kupe

  1. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nina mdogo wangu kamfanyia tohara mwanae wa miaka sita toka siku ya jumanne trh 26 ila mpaka leo mtoto kavimba korodani..alimpigia simu dkt alikuja nyumbani ila baada ya kumchunguza akasema haina shida ..je dkt yupo sahihi au tutafute suruhisho
  2. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni taratibu gani za kufuatwa ninapotaka kubadili jina la umiliki wa mita
  3. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

    Huawei p8 (l09)..naikubali sana aisee
  4. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Kitimoto kilo moja watu tunafyeka lakini kilo moja ya nyama ya ng'ombe hatutoboi, tatizo liko wapi?

    Mkuu achana na kitimoto ya kuchoma aisee
  5. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Kitimoto kilo moja watu tunafyeka lakini kilo moja ya nyama ya ng'ombe hatutoboi, tatizo liko wapi?

    Kuna chimbo niliingia songea nikaagiza kitimoto ya kuchoma kilo moja na nusu niko mwenyewe...wahudumu wote walikuwa wananitazama...[emoji28][emoji28]
  6. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Lg led tv 32

    natafuta flat inch 32 bajet yangu laki 3.
  7. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    hello VP ushampata
  8. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye na kubadilishana mawazo umri wangu 26yrs.
  9. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Flat screen inahitajika

    Flat screen inahitajika 32 inch bei isizidi 300000/= Aliye tayari aje pm
  10. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

    Tofauti ya tz na wenzetu
  11. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania In search of a boyfriend/ natafuta mchumba

    Mambo vp
  12. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Alichonifanya locomotov hata sitaki kuamini
  13. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka bado una uhai[emoji3]
  14. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nalisubiri hili jipu litumbuke Ticket - #389347 FixtureOddSelectionBet closes at Middlesbrough - Ipswich1.72Middlesbrough WinMar 14, 2015 - 3:10 pm Cska Moscow - Mordovia Saransk1.32Cska Moscow WinMar 14, 2015 - 3:55 pm 1899 Hoffenheim - Hamburger Sv1.671899 Hoffenheim WinMar 14, 2015 - 5:25...
  15. jitu kupe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Maana nimeweka ten nachukua 53,841/=
Back
Top Bottom