Ila siamini kama kiba ni msanii mwenye sauti nzuri bongo hata kidogo, msikilize dull sykes kwa ukongwe wote ule.
barnaba wamweka kundi gani, ila zinazovutia kuzisikiliza wapo kina steve rnb, belle 9,jux na wengineo kiba bado.
Ila kiba alitumia ombwe lililokuwapo kwenywe muziki wa bongo fleva...