Nakerwa sana na ujinga wa Watanzania

Nakerwa sana na ujinga wa Watanzania

Mkuu upo juu .... lakini sidhani ni suala la UJINGA bali ni USWAHILI. Ukitaka kupima hiyo, waambie wajinga kuna ngoma ya KIGODORO sehemu flani alafu uone watakavyomiminika huko. Obsession with FRIVOLITY! Kushabikia mambo ya hovyo hovyo, mipasho ndo zao. Uswahili huo! Siku zilee watu walokuwa na vision, progressive walibambikwa UKASUMBA. Siku zilee! Matokeo yake ni mass amnesia ya leo. Mambo ya kigodoro tu. Utakuta jitu zima, tena kiongozi mkuu kaenda kwenye ngoma ati bintiye kavunja ungo! Waswahili hao na inaelekea wapo wengi mno Tanzania
 
Tujapopita katika bonde la uvuli wa mauti hatutaogopa mabaya kwakuwa gongo lako na fimbo yako vitatuongoza,

Njia ni pana iendayo upotevuni na wanaoiona ni wengi bali njia iendayo uzimani ni nyembamba
na waipitao ni wachache.

Wakati wewe unasema methali za kidunia "wengi wape", Mungu anasema "wateule ni wachache".

Nawachukia watz kwa ujinga wao katika jamhuri yao ya muungano wa wajinga!

Kamwe sitachoka kuwafunulia yaliyofichwa ambayo jicho halijapata kuyaona wala sikio halijapata kusikia.

Enyi watu wa jamhuri ya muungano wa wajinga, nanikawaloga?

Ninaposema taifa la wajinga nina maana pana zaidi.
Serikali ya ccm inawabaka mpaka kuwadhalilisha lakini watz tunasinzia tu nakujiimbia wimbo wa tuvumilie tu, hatuchukui hatua kuiwajibisha,

Wizi wa 600 bilioni umefanyika kwa utawala huu wa jk kuanzia 2012 lakini watanzania hawa wajinga ni mabingwa wa ulalamishi, na kuna kukundi kidogo tu cha wajinga mara mia kinachoongozwa na Paul Makonda wanaoweweseka mitandaoni kila dakika kuitetea ccm.

Wiki juzi Mwakyembe kasaini mkataba wenye wizi wa zaidi 400 bilion lakini watz wa jamhuri ya wajinga wapo tu wamelegeza miili tu huku nchi inateketea,

Gesi ya Mtwara inasombwa matani na matani kwenda urusi kinyemela chini ya usimamizi na kusindikizwa na JWTZ huku nchi yetu hata sera ya gesi haijaiandaa, ccm imeanzisha kampuni ya kuchimba gesi na kujitwalia vitalu mhimu kisha kuingia ubia na makampuni ya kigeni. Lakini wajinga mpo tu vibarazani mkinywa gahawa.

Twiga na urefu wote ule anakunjwa mzimamzima na kuingizwa kwenye ndege hadi Dubei, huku nyie jamhuri ya wajinga mmetulia tu.

Ajali za barabarani kwa miezi mitatu tu zimepoteza maisha ya watz 1080,

EPA, MEREMETA, KAGODA, DEEEP GREEN, zote zimechota bot kwa wizi zaidi ya 400bilioni, lakini rais wa wajinga jk anachekacheka tu eti anawaomba warudishe kwahiari, hivi kuna sheria ya nchi hii mwizi anaombwa arudishe kwa hiari tena akiwa anakula ngisi uswahili tu?

Ajabu hakuna anaejua kama pesa hiyo ilirudi kupitia akaunti ipi na ilipelekwa wapi,

Rais anaapa mbele ya umma kuwa Richmond haijui, lakini miezi mitatu baadae Richmond inanumuliwa na Dowans na rais huyohuyo anakuwa shahidi wa mnunuzi mmarekani.

Suala la katiba mpya ccm imewadhihaki maradufu nyie wajinga, mmetoa maoni yenu chini ya tume ya Warioba lakini ccm imeyapeleka toilet na kuwaletea dude liitwa "rikatiba" la Lumumba chini ya Chenge na Migiro, lakini ajabu watz wajinga wanachekacheka tu sawa na mtawala wao.
Wanawachezesha akili tu, mara kikombe cha babu, mara desi, mara dengue, mara viungo vya binadamu, ilimradi tu nyie wajinga muwe bize kwa vitu vya kijinga.

JE WATZ SIO WAJINGA?

Uko sahihi sana mkubwa, tuendelee kuelimishana mpaka kieleweke
 
Last edited by a moderator:
We nawe mjinga tu. Sasa wewe umefanya nn? Wajinga wale wote waingiao mtandaon na kuanza kulalamika. Ujinga ni kujifanya unajua sana kukosoa wenzio wakat wewe huna solution.
Kwanza hao CHADOMO ndio watako iinua nchi hii? Hawa nao ni wajinga tu coz wana agenda zao za siri nyie mnavikwa vilemba vya ukoka eti tunataka demokrasia, hakuna kitu kama hicho. Safu za uongoz wanapanga wao.......aende mmakonde aone kama atapata shavu chadomo. Lazima uwe wa kaskazini tu.
Nijibu basi serkali gan itaikwamua nchi hii.......maana ccm wanaharibu, si ndo usemavyo?
Tafuta maisha yako hujazaliwa kujenga nchi, ila kutimiza malengo yako na ujifie zako uende kwa Mungu wako.
Fanya yako. Hii nchi ina wenyewe.

Na wenywe ni ccm, au sio?
 
tujapopita katika bonde la uvuli wa mauti hatutaogopa mabaya kwakuwa gongo lako na fimbo yako vitatuongoza,

njia ni pana iendayo upotevuni na wanaoiona ni wengi bali njia iendayo uzimani ni nyembamba
na waipitao ni wachache.

Wakati wewe unasema methali za kidunia "wengi wape", mungu anasema "wateule ni wachache".

Nawachukia watz kwa ujinga wao katika jamhuri yao ya muungano wa wajinga!

Kamwe sitachoka kuwafunulia yaliyofichwa ambayo jicho halijapata kuyaona wala sikio halijapata kusikia.

Enyi watu wa jamhuri ya muungano wa wajinga, nanikawaloga?

Ninaposema taifa la wajinga nina maana pana zaidi.
Serikali ya ccm inawabaka mpaka kuwadhalilisha lakini watz tunasinzia tu nakujiimbia wimbo wa tuvumilie tu, hatuchukui hatua kuiwajibisha,

wizi wa 600 bilioni umefanyika kwa utawala huu wa jk kuanzia 2012 lakini watanzania hawa wajinga ni mabingwa wa ulalamishi, na kuna kukundi kidogo tu cha wajinga mara mia kinachoongozwa na paul makonda wanaoweweseka mitandaoni kila dakika kuitetea ccm.

Wiki juzi mwakyembe kasaini mkataba wenye wizi wa zaidi 400 bilion lakini watz wa jamhuri ya wajinga wapo tu wamelegeza miili tu huku nchi inateketea,

gesi ya mtwara inasombwa matani na matani kwenda urusi kinyemela chini ya usimamizi na kusindikizwa na jwtz huku nchi yetu hata sera ya gesi haijaiandaa, ccm imeanzisha kampuni ya kuchimba gesi na kujitwalia vitalu mhimu kisha kuingia ubia na makampuni ya kigeni. Lakini wajinga mpo tu vibarazani mkinywa gahawa.

Twiga na urefu wote ule anakunjwa mzimamzima na kuingizwa kwenye ndege hadi dubei, huku nyie jamhuri ya wajinga mmetulia tu.

Ajali za barabarani kwa miezi mitatu tu zimepoteza maisha ya watz 1080,

epa, meremeta, kagoda, deeep green, zote zimechota bot kwa wizi zaidi ya 400bilioni, lakini rais wa wajinga jk anachekacheka tu eti anawaomba warudishe kwahiari, hivi kuna sheria ya nchi hii mwizi anaombwa arudishe kwa hiari tena akiwa anakula ngisi uswahili tu?

Ajabu hakuna anaejua kama pesa hiyo ilirudi kupitia akaunti ipi na ilipelekwa wapi,

rais anaapa mbele ya umma kuwa richmond haijui, lakini miezi mitatu baadae richmond inanumuliwa na dowans na rais huyohuyo anakuwa shahidi wa mnunuzi mmarekani.

Suala la katiba mpya ccm imewadhihaki maradufu nyie wajinga, mmetoa maoni yenu chini ya tume ya warioba lakini ccm imeyapeleka toilet na kuwaletea dude liitwa "rikatiba" la lumumba chini ya chenge na migiro, lakini ajabu watz wajinga wanachekacheka tu sawa na mtawala wao.
Wanawachezesha akili tu, mara kikombe cha babu, mara desi, mara dengue, mara viungo vya binadamu, ilimradi tu nyie wajinga muwe bize kwa vitu vya kijinga.

Je watz sio wajinga?

believe me....nchi hii imelaaniwa baada ya kulogwa na wajanja waliotanguliza mikakati yao ya kifedhuli na laana tuliyopata ndio hiyo ya ujinga unaosema!
 
Tujapopita katika bonde la uvuli wa mauti hatutaogopa mabaya kwakuwa gongo lako na fimbo yako vitatuongoza,

Njia ni pana iendayo upotevuni na wanaoiona ni wengi bali njia iendayo uzimani ni nyembamba
na waipitao ni wachache.

Wakati wewe unasema methali za kidunia "wengi wape", Mungu anasema "wateule ni wachache".

Nawachukia watz kwa ujinga wao katika jamhuri yao ya muungano wa wajinga!

Kamwe sitachoka kuwafunulia yaliyofichwa ambayo jicho halijapata kuyaona wala sikio halijapata kusikia.

Enyi watu wa jamhuri ya muungano wa wajinga, nanikawaloga?

Ninaposema taifa la wajinga nina maana pana zaidi.
Serikali ya ccm inawabaka mpaka kuwadhalilisha lakini watz tunasinzia tu nakujiimbia wimbo wa tuvumilie tu, hatuchukui hatua kuiwajibisha,

Wizi wa 600 bilioni umefanyika kwa utawala huu wa jk kuanzia 2012 lakini watanzania hawa wajinga ni mabingwa wa ulalamishi, na kuna kukundi kidogo tu cha wajinga mara mia kinachoongozwa na Paul Makonda wanaoweweseka mitandaoni kila dakika kuitetea ccm.

Wiki juzi Mwakyembe kasaini mkataba wenye wizi wa zaidi 400 bilion lakini watz wa jamhuri ya wajinga wapo tu wamelegeza miili tu huku nchi inateketea,

Gesi ya Mtwara inasombwa matani na matani kwenda urusi kinyemela chini ya usimamizi na kusindikizwa na JWTZ huku nchi yetu hata sera ya gesi haijaiandaa, ccm imeanzisha kampuni ya kuchimba gesi na kujitwalia vitalu mhimu kisha kuingia ubia na makampuni ya kigeni. Lakini wajinga mpo tu vibarazani mkinywa gahawa.

Twiga na urefu wote ule anakunjwa mzimamzima na kuingizwa kwenye ndege hadi Dubei, huku nyie jamhuri ya wajinga mmetulia tu.

Ajali za barabarani kwa miezi mitatu tu zimepoteza maisha ya watz 1080,

EPA, MEREMETA, KAGODA, DEEEP GREEN, zote zimechota bot kwa wizi zaidi ya 400bilioni, lakini rais wa wajinga jk anachekacheka tu eti anawaomba warudishe kwahiari, hivi kuna sheria ya nchi hii mwizi anaombwa arudishe kwa hiari tena akiwa anakula ngisi uswahili tu?

Ajabu hakuna anaejua kama pesa hiyo ilirudi kupitia akaunti ipi na ilipelekwa wapi,

Rais anaapa mbele ya umma kuwa Richmond haijui, lakini miezi mitatu baadae Richmond inanumuliwa na Dowans na rais huyohuyo anakuwa shahidi wa mnunuzi mmarekani.

Suala la katiba mpya ccm imewadhihaki maradufu nyie wajinga, mmetoa maoni yenu chini ya tume ya Warioba lakini ccm imeyapeleka toilet na kuwaletea dude liitwa "rikatiba" la Lumumba chini ya Chenge na Migiro, lakini ajabu watz wajinga wanachekacheka tu sawa na mtawala wao.
Wanawachezesha akili tu, mara kikombe cha babu, mara desi, mara dengue, mara viungo vya binadamu, ilimradi tu nyie wajinga muwe bize kwa vitu vya kijinga.

JE WATZ SIO WAJINGA?

cc jMali (authoritarian vs democracy)..this can't happen you know where..in the land of milk and honey. Kama hayo yaliyotokea kwa Mzee Warioba ndio democracy mnayojivunia then i will take authoritarian leadership anyday. Huwezi kuwa na nchi ambayo iko kwenye auto pilot halafu ukategemea wananchi watajikwamua kutoka kwenye dimbwi la umaskini.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unakosea wajinga Tanganyika, Zanzibar wanajitambua uzuri.
 
Tatizo la watanzania Sio ujinga bali ni woga wakuchukua maamuzi magumu.. Watu wanaelewa hayo yote lakini ni nani yupo tayari kutolewa Meno na kucha Bila ganzi..

Ni nani anaweza kuona mwenzake anatendewa isivyo haki alipojaribu kuutetea ukweli akamsaidi.. Tumebakiwa na bla bla za mitandaoni zisizo na maana..

Na watala wamewacha mpige bla bla zenu mitandaoni na kusahau kuzipiga kwa vitendo.. Leo hii haya tunayo yaongea huku tunge yafanya kwa vitendo hii nchi isingefikia hapa tulipo..
 
acha kufanywa mjinga na kalamu za waandishi wajinga,
Wajinga ni hao wanaojiita wajinga.
This is democracy at its best naona ndio maana umebaki unashangaa na kuanza kusifia ujinga wa authoritarian. Democracy ni pale waandishi wajinga wanatoa maoni yao ya kijinga na wanaachwa waendelee kuishi, ujinga ni pale authoritarians wanaua na kuwafunga waandishi wenye akili wanosema ukweli.
Warioba yupo kwake anakunywa chai saa hizi, mkewe anampoza. Tungekuwa tunaongea mengine hapa tungekuwa kwenu. Afrika hatutapiga hatua hadi vichwa kama vyenu vikatwe.
 
Vikatwe vichwa vya watawala ama watawaliwa???
 
Both, wale wanotawala kwa authoritarian na wale wanodhani ni sawa kutawaliwa kwa authoritarian.
 
Ulichokisema mkuu ni sawa, lakn na wewe ni mjinga hapo tukumbaliane, hafu vijana wajinga zaidi wanatoka mkoa wa dar es salaam, mimi huwanga nashagaa sana mnapojiita eti ukikaa dar es salaam ni sawa na eliyemaliza form six, big no.

any way mkuu hongera kwa thread yako zuri lakn mods wataitoa mda siyo mrefu. thanks

Kwa sababu tunajua mbinu za kupata pesa tulizofundishwa toka kata ya mkanyageni
 
We nawe mjinga tu. Sasa wewe umefanya nn? Wajinga wale wote waingiao mtandaon na kuanza kulalamika. Ujinga ni kujifanya unajua sana kukosoa wenzio wakat wewe huna solution.
Kwanza hao CHADOMO ndio watako iinua nchi hii? Hawa nao ni wajinga tu coz wana agenda zao za siri nyie mnavikwa vilemba vya ukoka eti tunataka demokrasia, hakuna kitu kama hicho. Safu za uongoz wanapanga wao.......aende mmakonde aone kama atapata shavu chadomo. Lazima uwe wa kaskazini tu.
Nijibu basi serkali gan itaikwamua nchi hii.......maana ccm wanaharibu, si ndo usemavyo?
Tafuta maisha yako hujazaliwa kujenga nchi, ila kutimiza malengo yako na ujifie zako uende kwa Mungu wako.
Fanya yako. Hii nchi ina wenyewe.

Mtanganyika ni kivuli na tanganykka itadumu milele kwa hiyo maendeleo ya taifa ni muhimu kuliko binafsi, fikiria huduma za afya zimeboreshwa je ni familia yako tu itayonufaika au ni ukoo wako wote,
Halafu hakuna ukoo tanganyika hii ambao wote ni mboga nane.
Hivyo maendeleo ya taifa ni muhimu Nasmb ndiyo tunu yetu inaonyesha una mawazo ya kifisidi tayari, we ni hatari zaidi ya makondakta
 
We nawe mjinga tu. Sasa wewe umefanya nn? Wajinga wale wote waingiao mtandaon na kuanza kulalamika. Ujinga ni kujifanya unajua sana kukosoa wenzio wakat wewe huna solution.
Kwanza hao CHADOMO ndio watako iinua nchi hii? Hawa nao ni wajinga tu coz wana agenda zao za siri nyie mnavikwa vilemba vya ukoka eti tunataka demokrasia, hakuna kitu kama hicho. Safu za uongoz wanapanga wao.......aende mmakonde aone kama atapata shavu chadomo. Lazima uwe wa kaskazini tu.
Nijibu basi serkali gan itaikwamua nchi hii.......maana ccm wanaharibu, si ndo usemavyo?
Tafuta maisha yako hujazaliwa kujenga nchi, ila kutimiza malengo yako na ujifie zako uende kwa Mungu wako.
Fanya yako. Hii nchi ina wenyewe.

Amini usiamini hakuna ujinga unao zidi huu ulio unena. ni ujinga first class kudhani NCHI hii ina wenyewe.
 
Inauma Lakini Ni Kweli Watanzania Ni Wajinga,ni Ghali Sana Kuwaamsha
 
Back
Top Bottom