Safi sana mheshimiwa raisi JPM, walau wananchi tupumzike kutokana na kubanwa tulikobanwa kila upande! Hapa ukaguzi wa vyet, unga, matumizi ya viroba na mengine mengi na sasa kuoa mpaka na cheti cha kuzaliwa, ushhhiiish....
Asante kwa kusema ukweli mtupu! Japo pamoja na kuwa ujumbe huu wenye elimu utasomwa na waathirika hao, hawataufanyia kazi! Wanasikilizia sikio la kulia unapitilizia sikio la kushoto.
Safi sana watumishi wa Mungu, japokuwa sijasikia mahali popote nlipotaja mafanikio ya waumini wenu! Mnge tu brief kidogo japo watu wachache waumini wenu kama sehemu ya mafanikio yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.