Kuhusu bodi Mikopo

Kuhusu bodi Mikopo

Joined
Jul 29, 2014
Posts
10
Reaction score
6
Wakuu , kuna uvumi mitaani kuwa kuna baadhi ya wanachuo wa vyuo vikuu watapunguziwa mkopo, ni kweli au ikoje kwa aliye na ukweli!
 
..hizi thread kuhusu mikopo zishakuwa nyingi sana,etii mkuu kma una Access na mtandao si uingie kwenye exact links uangalie kuliko kuanzisha thread ambapo hutapata authentic answers?????!ebu Fanya hivo alaf omba na MODS wafute hii thread kabisa
 
Back
Top Bottom