Singida: Polisi waua "Kichaa" kwa risasi Ikungi mjini

Singida: Polisi waua "Kichaa" kwa risasi Ikungi mjini

Hakuna polisi wa kumpiga risasi. Mtu ambaye amefungwa kamba, tena kichaa tena walipigiwa simu na kuambiwa taarifa za huyo kichaa.

Hii habari ni uzushi tu, anaweza kuwa ameuawa lakini si kwenye mazingira hayo uliyosema
Polisi wengi ni wezi wa vyeti au Zero yani polisi ni Team Bashite
 
Hakuna polisi wa kumpiga risasi. Mtu ambaye amefungwa kamba, tena kichaa tena walipigiwa simu na kuambiwa taarifa za huyo kichaa.

Hii habari ni uzushi tu, anaweza kuwa ameuawa lakini si kwenye mazingira hayo uliyosema

Wale wafanyabiashara wa madini wa morogoro pamoja na dereva wao wa tax waliuawa na nani labda Mkuu..? Na wale wachungaji wa mifugo waliouawa kilombero kule, mpaka ikafikia Mwigulu kwenda kuwatuliza wananchi, waliuawa na nani labda Mkuu..? List ni ndefu sana..

Polisi wanaua raia wengi wasio na hatia bila ya sababu.. Tatizo ni kubwa na inabidi mamlaka za juu ziliangalie hili maana raia wanapokonywa haki zao za msingi kabisa, ambayo ni kuishi.. Uhai tumepewa na Mwenyezi Mungu..
 
Hili tatizo la magonjwa ya akili ni Janga maeneo ya Ikungi. Serikali kupitia Wizara ya Afya ielekeze nguvu kazi huko. Kuna vichaa wengi sana huko.
Mbunge wa ikungi ni tundu lisu ukimwangalia na yeye vipi hana hilo tatizo?
 
Watanzania wenzangu mm nahisi wakati mwingine tuwe tunatoa taarifa sahihi hata kama askari wetu wana vitendo vya kijinga tusieneze taarifa za chuki.Hii taarifa ni miongoni mwa taarifa zenye utata.subirini taarifa kama huyu jamaa si aliyestahili kufa badala ya yule kichaa.Mods hakikisha watu wa category wanakula ban forever.
 
Hawa ndy askari wetu,wee unayetetea mapovu haya ngj yakukute kwako au kwa ndg yako hapo utatia akili

Ova
 
Vichaa walio shindikana nishida pia wanaua ila style waliyo tumia kama ni kweli sio nzuri
 
Ninajaribu kutafakari na kuvuta hisia sipati picha najiuliza swali lifuatayo;
1. Eti Polisi wamepigiwa simu na kujulishwa tukio na wamefika mtuhumiwa akiwa amedhibitiwa, tena na kufungwa kamba, halafu navuta picha mtu aliyefungwa kamba anavyokuwa, halafu polisi wanafika wanaanza kumpiga risasi mtuhumiwa tena zaidi ya moja. Jamani mimi binafsi napata mashaka na ukweli wa taarifa hii. Hebu tuwe na subira ili tupate taarifa sahihi.
What ever it is, nakuongezea maswali mengine!

1, Tukio limetokea Kichaa amechoma watu WA tatu kisu, watu wapo wanaangalia tuu et?? Inaingia akilini???

Wanasubiri polisi waje wamuue???

2.polisi hawana mbinu za kumdhibiti mhalifu zaidi ya kumpiga risasi kichwani mtuhumiwa???? Yaani mafunzo yooote walifundishwa kushoot kichwani??

Hawa polisi bila Shaka ni TEAM-BASHITE.
 
Hapa maswali ni mengi kama posti hii inaukweli!!.

Otherwise polisi aliempiga risasi nayeye akapimeakili, hakuna polisi mwenye akilizake timamu ambae unaweza kufanya jambo kamahilo.

Hii habari lazma itakuwa imetiwa chumvi,tuwe wakweli tu.
Police ampige mtu alie fungwa kamba risasi kichwani wakati amefungwa kamba????.

Can't be!!.
 
au walipeana taarifa kuwa huyo kichaa ni jambazi?
Hapo katika mrejesho wao utasikia; alikua anataka kumnyanganya polisi silaha ndio kapigwa risasi
 
Polisi wetu sijui mnaenda(GA) kusomea ujinga ktk mafunzo yenu?

Hivi inawezekana kweli kuwa mtu mmoja tena aliyedhoofu kiakili na kimwili mnashindwa kumshika na kumuweka chini ya ulinzi hadi mmpige risasi ya miguu na kichwa?

Tena askari zaidi ya 7 bunduki na mabomu yenu kweli?

Habari ilikuwa hivi, kijana aitwaye "Muungano Muyanji" wa Ikungi Singida ni mgonjwa wa akili kwa muda sasa. Jana asubuhi aliamka kichaa kikiwa kimepanda, alileta fujo nyumbani kwao na kumjeruhi mke wake na mama mwingine aitwaye mama Gire kwa kisu!

Baada ya tukio Hilo kutokea watu waliofika walimkabili na kumdhibiti kwa kumnyang'anya kisu alichosema nacho, na kumfunga kamba.

Polisi walipewa taarifa zote wakati tukio linafanyika ila walichelewa kufika, walipofika baaadaye tukioni walikuta mtuhumiwa (Kichaa) wamemfunga na kumdhibiti cha ajabu walipofika tu wakampiga risasi mbili za mguu kabla ya kumpiga nyingine ya kichwa na kufa hapo hapo! As if wanaua kenge fulani hivi!

Wananchi walichachamaa na kureact juu ya kitendo hicho! Polisi waliendelea kuwatishia wananchi wengine bunduki pia.

Walichofanya polisi waliuchukua mwili na kuupeka kituo cha afya Ikungi kabla ya wananchi kwenda kuuchukua mwili na kuuacha Barabara ya kituo cha polisi, hali hii mkuu wa wilaya aliingilia kati na mwili ulipelekwa hospitali ya mkoa Singida kuhifadhiwa.

Mpaka sasa hali sio nzuri, mwili umesuswa huko hospitali!

Waziri wa mapolisi Mwigulu Nchemba hawa vijana wako vipi?

Huku ndio kwenu kiongozi mtu hawezi kuuawa kishenzi namna hiyo as if mnaua paka mla nyama jikoni!

Chukua hatua!
Hiyo so kweli hakuna polisi anawezafanya hivyo usifikirie polisi wao sio binadamu nao wanaubinada hayo sio mazingira ya polisi kutumia risasi za moto
 
Rpc atasema kichaa alianza kuwashambulia Polisi na wao wakajibu mapigo kwa kumpiga risasi na alifariki wakati akipelekwa hospital.

Km Polisi wamefikia kuua vichaa Kwa bunduki, Jeshi la Polisi lina walakini.
 
Huyu Lisu aliahidi kukuoa akakutelekeza au? Kila post yako Lisu...Lisu. Unakera!
Mimi baada ya taarifa kuwa ikungi kuna vichaaa wengi mno nikamkumbuka lisu mbunge wa ikungi akiongea na ulimwangalia usoni unaweza amini kuwa ikungi kuna tatizo. Ziangalie hotuba za lisu kwenye youtube uhakiki mwenyewe. Kuna tatizo ikungi
 
Ninahifadhi kauli yangu mkuu. Ila ukifuatilia takwimu za huko Ikungi utashangaa mkuu.
TLS wakifanya uchaguzi waangalie pie Kama mtu ni wa ikungi wawe makini wacheki family tree history wasije chagua kichaa ambaye anatoka familia ya certified vichaa
 
Back
Top Bottom