Recent content by JinSakai

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    +255 657 628 194 namba ya wakala mfate atakupa maelekezo utatoa ela 888starz flesh tu
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimetoa jana kwa kutumia wakala wa 888
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku ya 3 leo mzee kuna ela zetu au wanataka tubet tuchane, 22bet nayo ilikuaga kama hivi ikasepa na vibunda vyetu.
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni yenu kutoa ela kipengele mno
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  6. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5.5 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

    sawa mkuu ila kwa hoja yako hii china haijawahi uchumi wake kukua kwa kua wanapika data zao
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5.5 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

    mkuu kama matajiri wanaongezeka utajiri wao si wanaweza kuongeza GDP alafu wale unemployed wakaongezeka pia?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

    hivi ALAF ile jam yao ya kusubiri imepungua siku hizi wakuu?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

    Hii huduma hata tigo shops wanatoa ila mleta mada anasaidia kwa kua wengi kigezo cha leseni ya biashara hawana. Hapo ndio anajua anavyofanya mpaka mtapata huduma
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    Raia vitu kama soc, touch sampling rate, refresh rate na ram na storage speed raia ukiwaambia utawachanganya humu wao wanacheki ram na storage size tu.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

    SURVIVE, mungu yupo na ni wa kila mtu muda wao utafika.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Calculator yao ipoje mkuu tupate maarifa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Ndio mkuu hii hapa poster kwenye website yao
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Biashara zinachangamoto sana mpk unaona heri nusu shari niweke fixed nipate kidogo kuliko kuchoma ela usikilizie upepo unaendaje
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    DCB offer imesitishwa wanatoa 12% tu kwa sasa kuanzia 100m ila Access wanatoa 14% kila la kheri mkuu" mapambano lazima yaendelee"
Back
Top Bottom