Hezi kesi za kukurupuka kwakua tu mtu katoa maoni Juu ya kile anacho kiamini sasa imekuwa kero, tujiulize tena kama inafaida Kwa ccm au asara. Huku mtaani raia ambao ndio wapiga kura wenu mnawakera sana... Wanataka viwanda na sio kukamata
Sent using Jamii Forums mobile app
Serekali ya fukuza fukuza bado nimepema Sana.... Kuanza kumsifia Safari bado ni ndefu.
Bado najiuliza maswali ya kutumbuwa majipu Kama kweli haya majipu yanayo tumbuliwa nivipele au majipu kweli?
Mikataba ya madini mikataba ya gesi nk.. Nadhani ndio yengekuwa...
Nilikua na mheshimu na kumwamimi dor katika mabadiliko ya kweli. Kama yeye amnaweza kujitoa ukawa basi hatafaa kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Tunahitaji mabadiliko na siyo mambo ya mke ukawa tutasongabele daima.
Duu!! Huyu ni zitto kweli!! Mbona kama wameedit hii picha ? Kama ni yeye abadili mwelekeo haraka sana.. kabla hatujasema tulimpenda na act ilimpenda zaidi
Bora abaki hukohuko kwasababu ,vyombo vya habari vinamtafuta ajibu hoja za chama. Sasa sijui atajibu nini!!.. kuusu kabila lake kwasababu alikua analificha nakujipa kabila lisilo lakwakwe . Sisi tumesha jua yeye ni kabila la mccm.
Usijifanye unajisaulisha kwasabubu tu ulikua kambi flani ? Kama nyerere aliitwa kwa dharura ili kukinusuru chama, iweje jk asiitwe wakati ndio mwenyekiti wa ccm na raisi wa nchi. Acha mazoea....ya simba na yanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.