Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Yaani majadiliano na picha ya siku moja ndio ushirikishwaji huo?

Je wanachama waliosusa mna picha zao na lowassa?
 
Kwani lazima? Kama wameona Lowasa ni mtaji kwanini mwahangaika na Dr. Slaa? Mwacheni apunzike.
 
Yaani majadiliano na picha ya siku moja ndio ushirikishwaji huo?

Je wanachama waliosusa mna picha zao na lowassa?
Kwanza katika hizo picha Dr. Slaaa anamwangalia Edo akiwa na hasira kali kama wale wananchi ambao hupiga watuhumiwa na kuitwa wananchi wenye hasira kali!
 
Kweli, kabisa ni ushahidi tosha ya kuwa alishiriki mchakato wote wa kumpokea. Hatakuwa na la kuwambia watanzani.
 
Dr kajenga chama chenye nguvu ya kuitoa ccm pale magogoni anataka nn zaidi?
 
Aliiyepiga ni jasu**. Alipiga kwa saa ya mkononi. Ndo maana ilikuwa na giza Tumemsamehe. Haha hahaaa
 
Pongezi nyingi kwa mpija picha wasikuile, kama dr slaa singeonekana kwenye mkutano wa kumpokea rais mtarajiwa E.L ccm wangepata cha kuongea
 
Mchakato ulianza siku nyingi kabla ya El kuja ukawa na alisshiriki. Kwa hiyo hoja yako ya mazungumzo ya siku moja ni dhaifu. Kwani wewe hukuzisikia tariifa za ujio wa El wiki mbili kabla kwenye vyombo vya habari?
 
Enzi zinabadilika, hata kama umefia chama kuna maamuzi huwezi kuyakubali tu.
 
Kwani uhakika kama hizo picha ni za kikao cha kujadili uncle lowasa awe mgombea wa uraisi
 
Picha ni feki? Ni nani aliye nyuma ya Lowassa mwenye viatu vyeusi? Angalia mguu wa kulia wa Lowassa kwenye viatu
 
Slaaa alikua amjihakikishia kugommbe uraisi sasa alivyoona kasimamishwa kamanda Edo kaanza kununa cdm sio ya slaaa na msumbusi kama vipi alale na mkewe huko nyumbani ngoma isonge mbele ukawa mpango was mungu mungu bariki c bariki ukawa
 
Acha mambo ya kitoto, kinachogomba ni methodology
1. Lowassa alipaswa kujisafisha kashfa zake pasi kuacha shaka kwa watanzania, badala yake kaacha maswali zaidi, hajajibu tuhuma kindakindaki.
2. Utaratibu wa kugombea ufuatwe ukiruhusu democrasia katika hatua zote
3. Ushirikishwaji na sio uburuzaji
4. Swort Analysis, Loyalt etc

Mmeacha mbachao...
Mmetema big g kwa karanga za kuonjeshwa
Mmechoma nyumba ili kupata joto,
 
Yapo mambo yanatokea na yanakuwa ni mpango wa mungu
Kuna dhana inajengeka kama Dr slaa hakushirikishwa kikamilifu kwenye maamuzi ya kumpokea Lowassa Chadema
Lakini leo napenda nitoe pongezi za dhati kwa yule kamanda aliyepata wazo la kumpiga picha Dr slaa akiwa na wenzake kwenya kamati kuu.
Na hiyo ndio imegeuka fimbo kuu ya kumfunga Dr mdomo,La sivyo angeweza kutuadaa kuwa maamuzi yaliyofikiwa hakushirikishwa na niya mwenyekiti pekee
Pongezi nyingi zimwendee yule kamanda aliyepiga picha zile zimetuondolea utata mkubwa sana
Na hiyo ndio mipango ya mungu huwa lazima itimie hata kama kutakuwa na vikwazo vya shetani.
Mkuu siyo busara kumlaum yeyote Dr. anayo haki ya kukubali au kikataa mawzo ya wengine na hiyo ndio democracy na wala sio uhasama. UKAWA DAIMA.
 
Back
Top Bottom