Recent content by jingus

  1. jingus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

    Aiseeee
  2. jingus

    JamiiForums Tanzania Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Wakati mwingine jitahidi kufanya utafiti kabla ya kusema jambo!!!!! Akili za kuambiwa changanya na zako
  3. jingus

    JamiiForums Tanzania Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

    Sema wewe utasimama sio sisi Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  4. jingus

    JamiiForums Tanzania Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Bado hayajawapata yakiwapata mtajua kwanini imetokea hivyo Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  5. jingus

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa

    150k upo tayari
  6. jingus

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa wakuu ndani ya Dodoma

    kama upo sabasaba panda daladala za kwenda mnada mpya mwambie konda akushushe nyanza road au panda daladala za nkhuhungu shuka kituo cha four way kisha chukua boda si mbali na hapo
  7. jingus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Married woman but kuna mwanaume nimetembea naye

    Aiseeeeee
  8. jingus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

    njoo pm
  9. jingus

    JamiiForums Tanzania Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

    Je ni wangapi mmejiandikisha kupiga kura?
  10. jingus

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Tundu Antipas Mughwai Lissu

    zimebaki ngapi mkuu?
  11. jingus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

    unaizungumuziaje na hii taarifa
  12. jingus

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hawala anataka tugawane mali

    kwa mjibu wa sheria zipo ndoa za aina tatu,moja ndoa ya kiimani yaani kanisani au msikitini,pili ndoa ya bomani au serikali na mwisho ndoa ya kiimila hii ni lazima upate baraka za wazazi wa pande zote ikiwa ni pamoja na kulipa mahali . kama mulipitia ndoa kati ya hizo tatu basi ana haki ya...
  13. jingus

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

    Kumbe tarehe 13/5/2020 imeshafika? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. jingus

    JamiiForums Tanzania Msaada ya kisheria kwa tatizo la ardhi

    Nenda kwa mwanasheria yeyote atakujazia fomu au maombi ya kaza hukumu ( application for execution) kisha utaiwakilisha katika baraza la ardhi na nyumba wilaya!! Utafunguliwa maombi madogo ( misc application) na itatolewa hati ya kumwita huyo jamaa aje aeleze kwanini hukumu isitekelezwe Sent...
  15. jingus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

    Ingia inbox kwa kila aliyecoment hapa uone yupi anakufaaa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom