Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

Status
Not open for further replies.
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote
Nipo hapa njoo inbox
 
Umenibagua kabila tu!!! kama hutojal njoo in box
 
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa
Aisee!!
 
Yan pengine hapo unapoķaa kwa dada yako ambaye kila wkt anapigwa vitasa na mume wake
Unalala sebuleni,shemeji akija amenuna inabidi utoke nje mpk akilala
Unakuja kumjibu mtu maneno ya laana
Acha tabia hiyo dogo
 
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote
Hapa nadhani kamaanisha yeye ndio wa kanda ya kusini
 
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote
Hebu njoo PM.tuyazungumze dear.
 
Tangu 2013 ukiwa na 28 yrs unatafuta mchumba hadi leo una 35 hujapata pole sana.

Mimi nina vigezo ila nimeoa week iloisha bahati haikuwa yetu.
 
Yan pengine hapo unapoķaa kwa dada yako ambaye kila wkt anapigwa vitasa na mume wake
Unalala sebuleni,shemeji akija amenuna inabidi utoke nje mpk akilala
Unakuja kumjibu mtu maneno ya laana
Acha tabia hiyo dogo
Sawa mkuu
 
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote

Mm natokea nyanda za chini kaskazini je
 
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote
njoo pm
 
Mh! Nyie ndio mnaofanya JF ionekane ina watu wenye roho nyeusi sana. Kwani uki comment positively kuna shida? Kama wewe huwezi kumuoa wapo ambao watamuoa. Tujifunze positivity sometimes. Vinywa vyetu viwe malango ya baraka, sio laana na masimango

Maneno yake makali sana, hakupaswa kumuandikia maneno makali namna hiyo

Internet hizi
 
Mh! Nyie ndio mnaofanya JF ionekane ina watu wenye roho nyeusi sana. Kwani uki comment positively kuna shida? Kama wewe huwezi kumuoa wapo ambao watamuoa. Tujifunze positivity sometimes. Vinywa vyetu viwe malango ya baraka, sio laana na masimango
Niungane nawe, huyo mchangiaji hana busara hata kidogo, hata kukaa kimya nako ni hekima.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom