by jingle:kwa kawaida imezoeleka'inapotoka mishahara hususani ya walim huwa inatoka moja kwa moja lakini kwa sasa benk ya NMB wilaya ya bukombe mkoa mpya wa geita imesimamisha zoez hilo baada ya walim walipokwenda kudraw pesa zao,wingine wamepata robo ya mishahara yao wengine hawakupata...
by jingle:kaka ww sio wa kwanza kuumizwa na hawa viumbe waliopo vyuoni!mm ni mmoja wa waathirika wa jambo hilo!nusra nipatwe na wenda wazimu!siyo kesi chukua muda kulifikiria hilo.that's what life goes!
by jingle:ciello nahisi ni muda muafaka,umri unasonga ati,sitaki mtoto wa uzeeni.si unajua tena kuanzisha familia siyo mchezo!watoto wapate elim na mambo mengine muhim.
Hi!nimewahi kutoa mada kuhusu aliyekuwa mchumba wangu,ambaye ni mwana chuo kunitosa!nahisi yuko ktk mahusiano mapya kwa sasa baada ya kuniweka waz kuwa hanihitaji, kwa sasa ana mtu anayempenda kuliko alivyonipenda mm bila ya kujali tumedum ktk mahusiano kwa muda gani!nilimvumilia kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.