chelsea vs man u

chelsea vs man u

jingle

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
27
Reaction score
2
wataalam wa soka,imekaaje hiyo!manake man u wana hazina kubwa ya wachezaji waliopata muda wa kutosha wa kumpumzika tofauti na chelsea!
 
wataalam wa soka,imekaaje hiyo!manake man u wana hazina kubwa ya wachezaji waliopata muda wa kutosha wa kumpumzika tofauti na chelsea!
Lini? Mi ni mpenzi mfu wa Man U na soka kwa ujumla (hasa la hawa wakoloni wetu) ila kusema ukweli Jumapili iliyopita Man U kidogo wageuke Woman O! Wale vijana wa The Blues wanatisha wajameni! Kwa mwendo ule hata Man U wapumzike miezi 3 hawataweza kufurukuta mbele ya Mashetani wa Blue labda refarii awe ni yule yule wa Jumapili iliyopita!
 
Wewe utakuwa hujitambui kwani si timu zote zimecheza Jpili sasa nani amepumzika kuliko mwingine hapo?
 
Back
Top Bottom