sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jingle, Oct 29, 2012.

 1. j

  jingle Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi!nimewahi kutoa mada kuhusu aliyekuwa mchumba wangu,ambaye ni mwana chuo kunitosa!nahisi yuko ktk mahusiano mapya kwa sasa baada ya kuniweka waz kuwa hanihitaji, kwa sasa ana mtu anayempenda kuliko alivyonipenda mm bila ya kujali tumedum ktk mahusiano kwa muda gani!nilimvumilia kwa kiasi gani!anyway nilejee ktk mada ya hapo juu!kunamsichana nampenda sana ila yuko busy sana!nilimweleza nn lengo langu kwake,takribani wk kadhaa akanikubalia!tatizo mchana yeye anakuwa sana busy!mm pia nakuwa sana busy usiku kumalizia viporo vya kaz za mchana kwa kipindi hiki cha mishahara,kiukweli huwa nakuwa busy kwa kipinda cha mishahara!nina muda mchache tu wa kuongea nae kuhusu maisha.tunaongea kwa njia ya sim wakati huo tayari akiwa na usingizi,naona kama vile namsumbua!nifanyeje?sihitaji kumpoteza.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mara unampenda aliyekuacha sana, mara mpya unampenda sana.

  Kipi ni kipi?

  Ubize gani wa kushindwa kutuliza kiu ya mioyo?

  Mnataniana, wote wasanii kiaina.
   
 3. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Endelea kutayarisha payroll mpaka zitapoisha ndipo uwe naye tena.
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  We nilishakwambia u mwoga wa mapenzi, jiweke level kwanza acha stress na pupa then lisongeshe....
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Aisee we mtu muhimu sana bana. Mweleweshe na yeye umwelewe mtafikia muafaka. Chonde usojechelewesha mishahara yetu
   
 6. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole,ila u'seem desperate than busy.
  Tuliza akili,kila jambo na wakati wake.
  Kama wako wako tuu.
  Busy Bongo!Watu wamekuwa busy kuliko Obama na bado ana time na bby wake..We ngoja ampate mwenye muda ambane kona ()..utaita maji mma.
  Pangilia muda wako vizuri tu mydia,kila kitu kitakuwa sawa.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  huyo aliyekuacha mliachana lini?

  Huyu unayempenda ulianza lini kumpenda?

  Nahisi hujielewi
   
 8. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,327
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Kipindi cha Mishahara ndo kipindi gani?
   
 9. j

  jingle Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  by jingle:ciello nahisi ni muda muafaka,umri unasonga ati,sitaki mtoto wa uzeeni.si unajua tena kuanzisha familia siyo mchezo!watoto wapate elim na mambo mengine muhim.
   
 10. j

  jingle Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama miezi 9iliyopita. nilikuwa namsihi anambie tatizo ni nn ili kosa nililomfanyia nisije kulitenda kwa mtu mwingine.
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mkuu seems una GUNDU... nenda kwa prof maji marefu ukasafishe nyota........
   
 12. j

  jingle Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niko kwenye kampun ya mikopo,huwa naandaa form za marejesho ya mikopo.asante
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hajielewi yeye kama ni samaki au ndege.

   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hayo usemayo uko sahihi, ila emotionaly hauko stable so jipe timy ya kuwa sawa kwani ukikurupuka hata huyu unayemsalandia sasa utampeperusha relax meeen nenda slow kama vile hutaki ,simaanish ukae miaka bal make sure u clear all the doubts b4 making huge decision....otherwise its ur call
   
 15. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Yaaan ni zaidi ya msanii jamaa hajielewi wala hajisomi...sijui ni mgeni wa huo ulimwengu.
   
 16. j

  jingle Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niko kwenye kampun ya mikopo!kila mwisho wa mwezi naandaa form za marejesho.
   
 17. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hebu sahau yaliyopita! hana la kukwambia huyo my X-gf wako kwani kila binti ana mambo yake yanayomkera wala hayafanani!
  Cha msingi waandalie jamaa boom halafu mukutane ijumaa hii au jumamosi, muweke mambo sawa!
   
 18. j

  jingle Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yawezekana uko sahihi ni nn mchango wako kuokoa jahazi!
   
 19. j

  jingle Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks ciello!
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ahahahaaa tarhe mbaya hizi oh!
   
Loading...