HoneyBee
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 912
- 864
Muache. Utapata mwingine.
Nilikua katika uhusiano na msichana mmoja wa chuo fulani,kwa mda mfupi tulipendana kwa kiasi ambacho sikutarajia,tukapanga jinsi maisha yetu yatakavyo kua hapo baadae,cha ajabu baada ya kufungua chuo akaridi chuoni baada ya wiki km mbili napiga cm anapokea kwa unyonge then nasikia sauti ya mwanaume ikabid nikare cm then sms inaingia kwenye cm yangu kua tusitishe uhusiano coz ameamua kurud kwa boy wake wa zamani anaesoma nae,da imeniuma sana mpaka leo na nampenda sana sipendi nimuache bt ikibid ntafanya hivyo.Je nifanyeje