Recent content by jinaless

  1. J

    Tangu nimekuwa na huyu mwanaume sina amani katika maisha yangu

    Wandugu habarini, Jamani hamna kitu kibaya kama mapenzi ya kulazimisha maana nahisi nateseka sana kuwa na mtu ambaye siendani naye kitabia,maana tangu nimekuwa na huyu mwanaume sina amani kabisa sababu yeye ni mtu wa pombe starehe hata hawazi maendeleo mimi kwaupande wangu kiukweli hii tabia...
  2. J

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Habari za saa hizi wadau, vipi PPF hawajaanza kuita watu kwenye oral interview? Mwenye update atujuze basi maana dah!
  3. J

    Kila anayenitongoza namwona hafai

    naamini wote mu wazima wa afya. kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake. mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona...
  4. J

    Kwa wale wanaotafuta kazi...soma hapa!

    Click link hiyo hapo chini kufahamu zaidi GetPaid4Visits.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
  5. J

    Ajali Mkoani Tanga; Watu 6 wafariki na 21 Majeruhi

    tumwombe Mungu tu atusaidie
  6. J

    Ajali Mkoani Tanga; Watu 6 wafariki na 21 Majeruhi

    SOURCE:AJALI YAUA 6 TANGA, YAJERUHI ZAIDI YA 12 « WORLD NEWS
  7. J

    Rais Kikwete kufuta tozo ya kodi kwa line za simu

    click hiyo link hapo chini upate kufahamu Mh. January Makamba amesema nini kuhusu tozo ya kodi kwa line za simu. HIZI NDIO HABARI NJEMA KUHUSU TOZO YA KODI KWA LINE ZA SIMU KUTOKA KWA JANUARY MAKAMBA « WORLD NEWS
  8. J

    msanii wa bongofleva Barnaba Aonyesha Mkoko wake mpya..!!

    NANI KASEMA BONGO FLAVA HAILIPI-BARNABA AVUTA MKOKO MPYAAA « WORLD NEWS
  9. J

    mapenzi yananisumbua

    yaanin kama vile uko moyoni mwangu....ur very right.
  10. J

    mapenzi yananisumbua

    habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati. imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa...
  11. J

    ndivo nilivyo au?

    naomba unielezee kiundani please am tired of this behaviour.
  12. J

    ndivo nilivyo au?

    nashukuru kwa ushauri wako....mimi nafanya kaz. naweza nikawa kimya hata kwa niliowazoea.
  13. J

    ndivo nilivyo au?

    habari wana jf....natumaini mu wazima na weekend mmeianza vema. naombeni michango yenu ya dhati ili niweze kubadilika, mimi huwa nashindwa kujielewa nina matatizo gani nimekuwa na kitabia cha uoga uoga kiasi kwamba siwezi kukaa sehemu yenye watu wengi na nikikaa sehemu hiyo basi ujue sitaongea...
  14. J

    2013 Acha Ushamba Ushamba Wako!!!!! Take Control !!!!!!!!!!!!

    thanx lara we mkali nani asiyekubali.
Back
Top Bottom